Recent content by J_Calm

  1. J

    Nina Furahi Sasa Kuona CHADEMA Inaenda Kushika Dola 2015

    2015 CHADEMA juu zaidi!
  2. J

    Mhe. Tundu Lissu, Please Acha Kumsulubu Spika Wetu! Unammaliza Kabisa Hadi Ameshindwa Kazi!

    Haki sawa ndio maana yake! ckwasababu ni mwanamke kwani hata anapo pendelea chama chake nikwasababu ya kuwa mwanamke. Gamba gamba tu!
  3. J

    CCM yaichinja CHADEMA Singida

    Hakuna mtu yeyote mzima na mwenye akili timamu anaeweza kuihama CHADEMA na kujiunga na CCM, otherwise wawe watoto kama ilivyozoeleka kwa CCM ama ikawa kama ule mchezo wa mwizi kujiibia ili apigiwe kelele za mwizi na roho ifurahi.
  4. J

    Chief Mangungo 2.0 na Ujinga wa Mwafrika 2013..

    Right MTAZAMO, Kuuzwa kwa GAS kwa China Si tatizo endapo itakuwa bihashara kama nyingine lakini zenye maslahi kwa taifa na watu wake. Kikubwa ni mkataba uwe wazi ili tusije kuingia katika mikataba feki Kama mingine iliyo na inayozidi kupoteza rasilimali za taifa bila ya kuwa na faida halisi...
  5. J

    Bungeni kimenuka, Naibu Spika azomewa! Bunge lavunjika kabla ya muda...

    Ndugai cjui afanywe nini maana ameonekana kuwa analogy zaidi!
  6. J

    Bunge hili linapaswa kuvunjwa...

    Dawa yao inachemshwa we waache!
  7. J

    Moto mkubwa unawaka maeneo ya Mwenge kwenye Stendi ya Mabasi

    Nyie vipi kwani picha alizoweka hamjaziona au ndo analojia nini!
  8. J

    Wassira, Ndugai, Sendeka, Kigwangala walaani uchochezi wa Mtwara! Kigwangala ataka Dr Slaa Akamatwe

    Wanababaika sana CCM hawana protocol, wanajichanganya sana.
  9. J

    Zitto: Serikali isipowataja walioficha mabilioni nje, CHADEMA itawataja hadharani!

    You are talking nonsense! Big up Zito, tuendelee mbele njiani wengine mamruki, wengine uelewa mdogo na wengine kipimo cha akili kimefika mwisho!
Back
Top Bottom