Recent content by J93

  1. J

    JamiiForums Tanzania Mgonjwa wa akili aliingia saluni na kujifuta kichwa na taulo kisha akaondoka

    Halafu siyo Saloon, ni Salon. Saloon ni aina ya gari!
  2. J

    JamiiForums Tanzania Nitakuwa wa mwisho kabisa Kuiamini hii Taarifa japo kwa 50% namkumbali na namheshimu aliyeitoa

    Tunaweza kuonana pale Victoria mkuu?
  3. J

    JamiiForums Tanzania Nitakuwa wa mwisho kabisa Kuiamini hii Taarifa japo kwa 50% namkumbali na namheshimu aliyeitoa

    Ndio hivyo, na wale walioshiriki kuwafukuza, wamefukuzwa!!!
  4. J

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini taasisi nyeti inayoongoza nchi inadanganya wananchi wake?

    Ikumbukwe Mei mosi ilivyofanyika siku ya wafanyakazi mkoani Arusha, ambapo ilitangazwa Mgeni rasmi angekuwa Rais Samia, ila haikuwa hivyo na wala haikutangazwa wazi sababu za yeye kutokuhudhuria, ila baadae ilielezwa alikuwa nchi nyingine kutekeleza majukumu yake! Kauli mbiu ya siku ile ilibeba...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Hamas walimkuta Joshua amevaa bulletproof

    Kufuatia kifo cha Mtanzania Joshua Mollel aliyeuwawa na kundi la Hamas, Baba yake mzazi amefunguka na kusema kuwa alifika eneo alilokuwa akiishi na mwanae ambapo alipata taarifa kuwa kundi la Hamas liliwavamia na kisha kuua wanajeshi watano, ambao walikuwa wakiishi eneo Moja na Joshua! Ameeleza...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Nasikia ushawishi wa kutaka kujiua

    Wakati mwingine hayo matatizo mtu akiyasema, mbele ya jamii ama Kwa wa wale anaowaamini huishia pengine hishia kulaumiwa na kuonekana mkosaji, kupewa maneno ya dhihaka na kutokusaidiwa kabisa, ama kusaidiwa Kwa vijembe!! So mtu anaamua kujikalia kimya tu Kwa sababu ya mapokeo kwenye jamii...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Buriani Rashid Mbuguni, Mzalendo aliyedhulumiwa kiwanda amekufa hajaona haki

    Hivi huo uuzaji wa viungo vya binadamu unaosema na unasemwasemwa ulishawahi kuuona na kuuthibitisha wapi? Kwa akili zako unaamini kabisa ipo biashara ya kuuza viungo vya binadamu? Hivi viungo vinauzwa kwa ajili ya nini na wapi lilipo soko lake...?! Itapendeza pia ukitoa mifano ama majina ya...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Buriani Rashid Mbuguni, Mzalendo aliyedhulumiwa kiwanda amekufa hajaona haki

    Kwa hiyo ndio ilikuwa ikisubiriwa afe ndio hilo suala limfikie mama mpenda haki?
  9. J

    JamiiForums Tanzania Buriani Rashid Mbuguni, Mzalendo aliyedhulumiwa kiwanda amekufa hajaona haki

    Sasa si bora huyo fisadi anayetoa visent kwa walala hoi... hao ambao si mafisadi wamewafanyia nini walala hoi? Tufanye mfano pm Majliwa si fisadi, hadi sasa kawafanyia nini walala hoi??
  10. J

    JamiiForums Tanzania Cheo cha Brigadier Jeshini Kirudishwe

    Sawa Koplo, tumekusikia!!
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kama mbwai iwe mbwai, viongozi wa Simba vunjeni kibubu mchukueni Mayele na Diarra!

    Kumbe tajiri..!? Sasa wewe maskini umejikatia shingo sio?
  12. J

    JamiiForums Tanzania Kama mbwai iwe mbwai, viongozi wa Simba vunjeni kibubu mchukueni Mayele na Diarra!

    Bila shaka kwa uzoefu wako ni kwamba unajinyea kwenye ndoto!
  13. J

    JamiiForums Tanzania Kama mbwai iwe mbwai, viongozi wa Simba vunjeni kibubu mchukueni Mayele na Diarra!

    Wewe asubuhi hujapata haja kubwa?
  14. J

    JamiiForums Tanzania Kama mbwai iwe mbwai, viongozi wa Simba vunjeni kibubu mchukueni Mayele na Diarra!

    Kwa mujibu wa BAKITA, kolo maana yake ni Mwanaume ambaye ni ndugu wa damu wa Mama yako!
Back
Top Bottom