Recent content by J4zo

  1. J

    Natafuta mchumba (mke)

    Natafuta mchumba. Sifa zangu: maji ya kunde, miaka 32, nina degree ya mtaani, sijaajiriwa, mfanyabiashara: sifa za mke: maji ya kunde, miaka 20-25, kidato cha nne lakini awe na taaluma ya dawa za binadamu, mkristu, awe na uwezo wa kuishi hata kijijini. Kwa aliye serious ani PM.
  2. J

    Ninauza mbuzi

    Habari za leo wana JF, Mimi ni mfugaji wa mbuzi nipo Geita wilaya ya mbogwe nina uza mbuzi. Mbuzi wapo 23 bei ni maelewano Karibuni.
  3. J

    Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Jamani naomba msaada Kila Niki submit documents naletewa maandishi haya""FILE UPLOAD FAILED BECAUSE IT IS NOT A REQUIRED FILE TYPE""
  4. J

    Aibu kubwa! Msomi unakosaje kazi ya kufanya nchi hii yenye kila aina ya rasilimali?

    Acha kupotosha watu. Mimi mikoa unayosema nimeishi mfano katavi kukodi shamba ekari Moja kwa ajiri ya kilimo cha mpunga inarange 150K Hadi 250K na kilimo cha mahindi,maharage,pamba na ufuta ekari Moja kukodi ni 50K . Mashamba ya Bure hupati in short Hakuna shamba la Bure.
Back
Top Bottom