Nchi yetu itachukua karne nyingi kupiga hatua, kwa sababu tunapenda viongozi lelemama wenyekutubembeleza na wenye kutoa maneno matupu. Akipatikana mtu mtendaji tunalalamika sana hasa tuliozoea kuishi maisha ya ujanjaujanja. Hali hii imepelekea nchi yenye uhuru zaidi ya miaka sitini kuendelea...
Hongera sana Rais wetu mpedwa mama Samia, kwa kusimamia weledi na uwajibikaji kwa wateule wako. Hatua uliyochukua itaongeza weledi na nidhamu kwa wateule wako katika kusimamia matumizi ya fedha za umma.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.