Recent content by J420

  1. J420

    Historia ya Kabila la Wahaya

    Huyo mtoa takwimu angetoa reasons Za Kagera kuwa masikini may be I could agree but now nothing,,,,,,,,,
  2. J420

    Historia ya Kabila la Wahaya

    Waambie bhana,,, muhaya kula Ugari ujue life imetight
  3. J420

    Historia ya Kabila la Wahaya

    Hao wametumia vigezo gani ilihali huku Moro ukaguruni mwaka 2015-16 njaa imewaacha watu hoi
  4. J420

    Historia ya Kabila la Wahaya

    Agiza soda nitalipia,,,,,,,, mapoyoyo mengi mno wahaya tuliwakosea nini watz
  5. J420

    Historia ya Kabila la Wahaya

    Uvivu kivipi????, kama ulidhani utamkuta muhaya anapiga Kazi Za nguvu pole
  6. J420

    Historia ya Kabila la Wahaya

    Jamaa mbona mgumu kuelewa umeambiwa stand inajengwa, Daladala zipo mbna mgumu kuelewa wewe,,,,,,, inabidi tukuchunguze unapotaja maeneo kama ya karagwe eti kubovu Hivi Umefika omurushaka wewe???, kayanga je???, kiyanga???, jamaa angu ngoja nikwambie ni Hivi toka dar mpaka mutukula Kagera hakuna...
  7. J420

    Historia ya Kabila la Wahaya

    Hapo ndo nashangaa sijui wahaya waliwafanyia nini atuelewi kabisaaaaaaaa Hivi kama umepita Dodoma (acha pale mjini kuzunguka viunga vya bunge) pako hovyo nyumba utadhani wanaishi wakongo fupi kama nini then ni Za nyasi, singida hovyo tabora Nayo Yale Yale Sasa njoo hapa morogoro nilipo huu...
  8. J420

    Historia ya Kabila la Wahaya

    Ungeleta hizi hizo data zenye hiyo fact tungekuelewa zaidi ndg umezungumia Habari ya hotel kutokuwepo Hivi umefika koloping hotel hiko juu mlimani kashura, wapi Victoria hotel,walkgard annex hotel, oxygen hotel, nyingine hiko nyamkazi vile kama sikosei hiko jirani Na kanisa la eagt nimeisahau...
  9. J420

    Historia ya Kabila la Wahaya

    Daladala Zipo,,, Angalia upande zilipo gari zilizoangaliana Na jengo la airtel,pembeni kuna jengo la TTCL Zipo Za kwenda rwamishenye, custom n. K kinachofanya Usione Daladala nyingi ni kwa kuwa root nyingi zinaungwa Na magari yaendayo ndani mfano naenda katoma lazima ntapanda gari Za...
  10. J420

    Msaada: Majina ya kiume na ya kike yanayoanzia na J

    Kiume:jamary,japhet,jackson,jasson, Jasper, ,jeremiah,jesse,john,johnson,johansen,johaness/johannes,johachim,joram,joseph,jocktan,julius,julian,juma, Kike :jackline, janeth, jamila, Jasmin, jadidah, jenesiter/jenesita jenitha,jesca,jenisia,johari,johanitha,johan,joyce,julieth,judith,
Back
Top Bottom