Recent content by J26

  1. J

    KWA WAIMBAJI WA MKOPO ELIMU YA JUU

    wameshafungua dirisha LA kukata rufaaa and waingie kwenye account zaoo wataona pia kuna maelekezoo yapoo ya kljinsii ya kukaa rufaa
  2. J

    HESLB yatoa mkopo awamu ya pili kwa Wanafunzi wa Mwaka wa Kwanza 2018/19

    Majina n machache sana na hapa ndioo wazazi wengi watashindwa kupeleka vijana vyuoni
  3. J

    HESLB yatoa mkopo awamu ya pili kwa Wanafunzi wa Mwaka wa Kwanza 2018/19

    MJina n machache sana jaman Hila mwaka huh wazazi wengi watashindwa kuwapeleka vijana vyuoni aisee
  4. J

    HESLB yatoa mkopo awamu ya pili kwa Wanafunzi wa Mwaka wa Kwanza 2018/19

    kuna yeyote wa diploma aliyenufahika tokea Bach ya 1 na hi I ya 2
  5. J

    TCU na Udsm sijawaelewa kwa hili

    Habari .... Nakushauri kwanza ungeenda TCU ukarepoti then watakusaidia wao kuwasiliana na chuo husika lakini husije ukaanza kwenye mkwawa kwani watakupa maelezo mabaya nenda tcu mapema ujuwe umepangiwa wapi . print taarifa zako za awali na uwasilishe tcu.
  6. J

    Waombaji 25532 wa mikopo elimu ya juu wapata awamu ya kwanza

    Tatizo LA wengi bodi n bahati nasibu
  7. J

    Waombaji 25532 wa mikopo elimu ya juu wapata awamu ya kwanza

    kipindi hiki ndio vijana wwtu wanachanganyikiwa wengine ndio wanaanza kuuza unga na madawa kuvuta. Bodi za mkopo bhana hatar Wazazi tunakazi ndio unawatoto wa 5 wanaenda wote shule za kulipia alafu unaongezewa wa chuo Hapo ndio utajuwa dar kuna faida
  8. J

    Waombaji 25532 wa mikopo elimu ya juu wapata awamu ya kwanza

    Aliyefanikiwa kupata majina aweke humu aiseee
  9. J

    Majina ya waliopata mikopo kwa ajili ya vyuo vikuu kutoka muda wowote

    Yaan hii inchi bhana sasa walivyotoa tangazo LA tar 15 wanafunzi waangalie account zao walikuwa wanamahanisha nini Hapa ndio tunaamini Tanzania tupoo nyuma nyuma katika utendaji wa kazi mbalimbali . Wanashindwa kufanya mahamuzi kwa usahihi kabisa ukiangalia hizi taasiisi zina shida nyingin...
  10. J

    Majina ya waliopata mikopo kwa ajili ya vyuo vikuu kutoka muda wowote

    mpaka muda huu saa kumi hakuna kitu unadhan kuna jipya leoo hakuna kituu but wiki hii ndio maajabu ysnaweza tokea
  11. J

    TCU hii kweli haki? E - D, C - C, A - E (ECA Div 2 pts 12) amekosa Marketing, Accountancy & Community Development!

    Me nadhan atakuwa hakusoma mwongozo waliotoa TCU kwa kuangalia vyuo na course wanazochaguwa wanahitaj ufahulu upii maana kwenye zile form ukikosea imekura kwako arudie kusoma hule mwongozo na ufahulu wake huo course anazohitaj kusoma
  12. J

    Mzumbe mna shida gani ya kiufundi?

    watabadilisha soon usipanic kama jina limetoka TCU litakuwa vilevile na course yako wala usijal
  13. J

    Majina ya waliopata mikopo kwa ajili ya vyuo vikuu kutoka muda wowote

    Hila kama ndio umepata chuo round ya 3/4 usitegemeee kesho kama jina lakoo litakuwepo maaana nadhan special kwa round ya 1/2 bcoz TCU watakuwa wamepeleka majina bodi ya mkopo na kufanyiwa kazi nyie was round ya 3/4 mpaka sec
  14. J

    Majina ya waliopata mikopo kwa ajili ya vyuo vikuu kutoka muda wowote

    Walisema tar 15 ambayo jtatu lakini kama TCU wamezinguwa mpaka sasa unadhan bodi nayoo itakuwa serious ngoja tuone Monday hila yajayo yanafurahisha.
Back
Top Bottom