Kile kizazi cha wazalendo wa Africa akina Nyerere kimeshapita. Kizazi kilichopo sasa ni cha wachumia tumbo, tutake tusitake. Sikubaliani na ufisadi unaofanywa na mtu yeyote, lakini wakati mwingine afadhali ya zimwi unalolijua kuliko usilolijua. Kwa kizazi cha sasa sitarajii kupata kiongozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.