Recent content by j.o.baruwa13

  1. j.o.baruwa13

    Tabia ya baadhi ya wanaume kununanuna pasipo kuwa na sababu inanikera

    He he mpe tu ... Kuna watu hivyo ndivyo walivyoumbwa short tempered yawezekana kununa kwake kumekutokana na vitu flan alivyokutana navyo kabla ila ukimpa unakuwa kama umetibu stress zilizopelekea kununiwa ...na kumfanya aone alikununia for nothing na kujikuta anamake up to you .... Na kaupendo...
  2. j.o.baruwa13

    Tulionao tumekosea, michepuko ndio chaguo halisi

    Hahaha hamna kitu ... Waliotokea kwenye wanaufaham utamu wake uliopelekea hamu ya ndoa .... Maisha ya uchepukaji ni tofauti na ya ndoa
  3. j.o.baruwa13

    Tabia ya baadhi ya wanaume kununanuna pasipo kuwa na sababu inanikera

    Hahaha hebu vuta picha ukimpaga vitu vyake anakuaje .....alaf baada ya hapo kumbuka kama kuna cku uliwahi kumpa akagoma ... Ukiona kanuna mpe vitu vyake mkimaliza atakueleza atafunguka tu
  4. j.o.baruwa13

    Did he truly mean what he said??

    Sometymz men are like that .... Kuna usemi mmoja upo kiumeni kuwa mwanaume haachi .... ' simba akikosa nyama hula nyasi' ... Ukiruhusu mawazo yako kuamini kirahisi hvyo ni sawa na kuamua kujishushia thaman yako... Ataishia kukutumia wakati makoloni yake yameisha ... Wake up my dear
Back
Top Bottom