Recent content by j.j

  1. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume viwembe/malaya (players) hupendwa na wanawake?

    but they will never be successful in life!
  2. J

    JamiiForums Tanzania tafadhali soma hapa

    vip hauwez kusimama kwa miguu yako ukamlea mwanao , umeniudhi sana eti kulea mwenyew kaz sasa ni bora kuishi na mtu ambaye akupendi, Namshukuru mwenyez Mungu naeza kusimama mim kama mimi kwa sababu nmesoma nina kazi yang na kizur zaidi naplan kusoma masters lsiti ningekuwa ni wewe nisongeenda...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu anavuta bangi

    MAHOndwa, acha umbea mwanaume nko kijenge sa hv acha hizo, acha kuchafua mtaa kias kwamba tukipita sehemu tunuke ladha ya bhang, umeniudhi sana
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu anavuta bangi

    Acha umbea mwanaume nko kijenge ya chini tena nyuma ya soko kaks amna mtu aliyebakwa hyo juz na pia ukome kutuchafulia mtaa . eti kijenge bhang mshenz kweli we umeniboa mbaya eti kij enge banf huon haya kuongea umbea mtoto wa kiume, kazi kwelikweli
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kwa kina dada wa JF bora lipi kati ya haya!

    A man with true luv is everything , bt its according 2 me"
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mambo yetu yalee

    Nenda Tembo hotel
  7. J

    JamiiForums Tanzania naombeni ushauri

    im sorry bt not looking
  8. J

    JamiiForums Tanzania naombeni ushauri

    hapatikani mpaka dakika hii
  9. J

    JamiiForums Tanzania naombeni ushauri

    tumemaliza chuo last year ila tumebahatika kupata kazi mikoa tofauti
  10. J

    JamiiForums Tanzania naombeni ushauri

    ni kweli na asante nmeamua ntakaa mwenyew sintokufa japokuwa inaumiza
  11. J

    JamiiForums Tanzania naombeni ushauri

    nashukuru kwa ushauri wako
  12. J

    JamiiForums Tanzania naombeni ushauri

    tumemaliza chuo last year. wote tunafanya kazi
  13. J

    JamiiForums Tanzania naombeni ushauri

    mi ni mgeni lakin nina mpenzi wang wa kiume, tuko mikoa miwili tofauti nampenda sana na sijawai kuwaza kumsaliti lakin nimempigia simu usikuu huu kapokea bila kujijua nkawa namsikia anamwita mwanamke aliye naye karibu aje na kwa sasa kazima simu kabisa ila kumpenda nampenda lakin naogopa...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Kutongoza kizungu ni ngumu jamani...asikuambie mtu

    mi ni member mpya nielekezen jinsi ya kupost story en how to reply . nmejaribu bt nashindwa,
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mapenzi matamu but mwisho wa siku yanageuka machungu

    umenichekesha sanaa!!
Back
Top Bottom