Recent content by J de real

  1. J

    JamiiForums Tanzania Help.

    Bado nimekwama
  2. J

    JamiiForums Tanzania Help.

    Najaribu lakini tatizo ina display kichina.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Help.

    Msaada jinsi ya kutoa pattern tecno P5. sikuwa nime create accaunt.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea NECTA kuhusu matokeo kidato cha nne na sita.

    Hapa kazi tunayo
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea NECTA kuhusu matokeo kidato cha nne na sita.

    Imedhihirika kuwa kuna sintofahamu nyingi katika balaza la mtihani la taifa kutokana na kutupiwa macho mengi na wanasiasa pamoja na wadau mbalimbali wa elimu. Hii ni sababu kubwa ya wao kuchelewa kutoa matokeo hayo wakihofia mitazamo ya wadau hao. Serikali katika hili bado inajipanga sawasawa.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Matokeo kidato cha nne 2012 kutangazwa tena wiki hii

    Me yangu macho nasubir kuona bila kuhadithiwa, matokeo yakitoka waliofaulu ni 89%
  7. J

    JamiiForums Tanzania Matokeo kidato cha nne 2012 kutangazwa tena wiki hii

    Serikali yaahidi kukamilisha na kuyatangaza tena wiki hii. Source tbc habari na uhakika.
Back
Top Bottom