Recent content by J.A.Y

  1. J

    Karibu Chuo cha Taifa cha Usafirishaji, Mabibo

    Mkuu nimeomba hio programe .Wakinichagua tu nitakutafuta. please naomba uniandikie jayyussuf2005@gmail.com
  2. J

    Ukweli kuhusu points za kuingia chuo 2014/2015 ni huu hapa

    Ha ha ha duh hii kali.Mkuu umeshamkosoa. ungemuelekeza tu.
  3. J

    Kumbe ndio mpango wenu jusa na maalim seif

    Hee hii propaganda ilozeeka na kukosa afya bado ipo?
  4. J

    Hongera V .J. NYERERE. UMewatoa gizani

    Hongera mh.lissu na mh.jussa kwa kuwashawishi ukawa wasiondoke dodoma.
  5. J

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Mimi ni mvulana mwenye miaka 25, kwa kweli nimeanza kupga punyeto zaidi ya miaka mitano nyuma, inafikia huamua kuacha punyeto lkn haifik hata mwezi narudia, nimejaribu kutumia njia mbali mbal kama mazoez nimeshindwa. Naomba ushauri wa namna gani ya kuondoa hili tatizo?
  6. J

    ITV: Wassira anaamini kuwa bado serikali mbili,mapungufu yatarekebishwa

    CCM kupi?ia serikal zake (SMT na SMZ) walikuwa na nafas kubwa ya kufanya maboresho ya muundo wa serikal 2 ,kwa sasa wamechelewa .wananch kupitia jaji WARIOBA wamenena, SERIKALI 3 NDO MPANGO MZIMA.
Back
Top Bottom