Recent content by Izu

  1. I

    JamiiForums Tanzania UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Ukawa Lowassa
  2. I

    JamiiForums Tanzania Ramesh Patel Mgombea Ubunge Ukonga Dar, akamatwa na Takukuru akitoa Rushwa Check Point Pugu

    Akuna rushwa ya siku nyingi ama ya leo,Kwa nn Maccm yenyewe ni damu damu na rushwa?
  3. I

    JamiiForums Tanzania Ramesh Patel Mgombea Ubunge Ukonga Dar, akamatwa na Takukuru akitoa Rushwa Check Point Pugu

    Akuna cha siku nyingi issue ni juzi bado hipi current,na kwa nn utoe rushwa?
  4. I

    JamiiForums Tanzania CCM Yaongoza kwa Rushwa Tafiti Data Point

    Ukiweka jiwe na CCM bora nichague Jiwe kuliko wauza nyumba wa serikali na umma eti leo nao wanataka Urais
  5. I

    JamiiForums Tanzania CCM Yaongoza kwa Rushwa Tafiti Data Point

    CCM ni rushwa rushwa tu bora Lowassa kawakimbia
  6. I

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Lowassa kuchukua fomu ya Urais Makao Makuu ya CHADEMA

    Wakuu chama cha magamba atimae kinaondolewa
  7. I

    JamiiForums Tanzania CCM Arusha waagiza Polisi wawakamate vijana Soko Kuu

    Pale bora tuchague jiwe kuliko CCM
  8. I

    JamiiForums Tanzania CCM Arusha waagiza Polisi wawakamate vijana Soko Kuu

    Maccm yameshachezea za Uso Arusha,Jimbo gumu sanaa kwa magamba
  9. I

    JamiiForums Tanzania Nyaraka muhimu za skendo ya Wizara ya Ujenzi

    Mzee Kingunge
  10. I

    JamiiForums Tanzania Nyaraka muhimu za skendo ya Wizara ya Ujenzi

    Mkapa anataka kulindwa Ufisadi wake wa NBC na Nyumba walizouza na Magufili bado Kikwete nae alikuwa anatafuta Membe aje amwokoe.
  11. I

    JamiiForums Tanzania Nyaraka muhimu za skendo ya Wizara ya Ujenzi

    Magufuli Kwake Chato Ushinda Uchaguzi kwa kutoa rushwa kwa washindani wake miaka yote.Leo awe Rais wetu?hahaha Nchi hii itakuwa imelaaniwa aisee kumpitisha mwizi na Fisadi wa kimya kimya.
  12. I

    JamiiForums Tanzania Nyaraka muhimu za skendo ya Wizara ya Ujenzi

    Muda wa kutoa wagombea bado upo kulingana na Tume so Mafufuli atufai maana Wizi wake ktk Wizara ya Ujenzi uko wazi.
  13. I

    JamiiForums Tanzania Nyaraka muhimu za skendo ya Wizara ya Ujenzi

    Naona JF inarudi kwenye Enzi zake za Kuacha Ukweli uzungumzwe .
  14. I

    JamiiForums Tanzania Nyaraka muhimu za skendo ya Wizara ya Ujenzi

    Magufuli kajenga disposable road uku akinyofoa 10% zake.
  15. I

    JamiiForums Tanzania Nyaraka muhimu za skendo ya Wizara ya Ujenzi

    CCM ni Kichaka cha Majizi na Magufuli ni zao la Mafisadi aswa baada ya Mkapa kumpigania ili alinde maslahi yake.
Back
Top Bottom