Recent content by izonga antonio

  1. I

    JamiiForums Tanzania Vunja Bei wameanza utapeli

    hawa jamaa wa vunjabei wako real sana na biashara yao nadhani wewe ulikuwa ndio hutaki kueleweshwa ila kila bei wanayotangaza instagram kwao ndio hiyo hiyo wanayouza dukani kwao ndio maana hadi leo wanazidi kufanikiwa maana wanakaribia kuwa na maduka karibia majiji yote tanzania hii hivyo...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Mnajua kirefu cha jina la pombe aina ya gongo inayotengenezwa na mabibo makavu NIPA?

    hapo bhana umenweza kudradardreeeeeeeeek aaaashhh!!! lakn nlkuwa naelekea kujbu
  3. I

    JamiiForums Tanzania Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    kwel hilo nalo wazo bhana
  4. I

    JamiiForums Tanzania Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    ucku bund mchana kunguru yaan furu kusaka life
  5. I

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kumuona shetani wewe?????.... Haya, usiogope lakini!!

    huyo nyokaa? au shetan mbona unaleta utan weye vip bhana acha kututisha au weye ndio mpinga kristo niniiii?????
  6. I

    JamiiForums Tanzania Toa tofauti ya zombi na vampire

    aaaaah yaan hiyo tofauti ni ndogo tu hapo zombi niyule anaye fanya sana maombi na vampire ni yule anaye onahaya. au co hapo c sawa wadau
Back
Top Bottom