Recent content by IZENGOB

  1. IZENGOB

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wengi wa majokofu/friji wanauelewa mdogo juu ya utendaji kazi wake

    Nina freezer langu nalipenda mno juzi nimelitonoa kwa bahati mbaya naomba kuuliza kama kuna ujuzi wa kuziba kama kuna mtaalamu humu aje inbox sitaki kusukiwa pipe.
  2. IZENGOB

    JamiiForums Tanzania Gaza: Makombora ya Israel yashambulia kituo cha mpakani upanda wa Misri

    Nyeta amechafukwa safi sana.
  3. IZENGOB

    JamiiForums Tanzania Vijana acheni wizi, humkomoi boss, unajikomoa mwenyewe

    Ok niliamini kuwa ukimlipa mtu vzuri hatakuibia.Kumbe niliamini ndivo sivyo.
  4. IZENGOB

    JamiiForums Tanzania Vijana acheni wizi, humkomoi boss, unajikomoa mwenyewe

    Duu nishapoa Mkuu.Ila sitasahau katika maisha yangu.Wala sijajua akina bakresa,azam na matajili wngine wamepataje utajili. Business plan za kuwa milionea ndani ya miaka 5 tunazo,wadhamini wa Business wapo lakini wasimamizi wa biashara hatuna,watanzania wanawaza kuiba tu.
  5. IZENGOB

    JamiiForums Tanzania Vijana acheni wizi, humkomoi boss, unajikomoa mwenyewe

    Babu umenikumbusha mbali sana mtoa uzi naandika haya nikiwa nalengwa na machozi. Niliajili vijana wawili buchani kwangu ambalo lilikua linauza ng'ombe mzima (100kg) kwa siku na samaki kilo 20 kuku kilo 40.Vijana nilikua nawalipa 15,000 kila mmoja kwa siku na matumizi ya buchani kama umeme,maji...
  6. IZENGOB

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

    Anayejua kuhusu vifalu vya Leopard na Ablams vilipo atujuze manake sijasikia ufanisi wake uwanja wa vita.
  7. IZENGOB

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Kumbe hii habari ni kweli
  8. IZENGOB

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    😃😃Aibu sana
  9. IZENGOB

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

    mbona hii drone ni advanced kiasi hiki linaitwaje hiyo
  10. IZENGOB

    JamiiForums Tanzania Rais Putin atembelea eneo la Kherson (Luhansk Region) kwa mara ya pili

    Tena bahari yenyewe ina nyambizi hatari ambazo kwa nje ndogo kama inzi ila kwa ndani kubwa kama mkoa wa Dar es salaam.Putin the great.
  11. IZENGOB

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

    Video hiyo wamekimbia bila kupambana.
  12. IZENGOB

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

    Jamani huko kichapo kikali mapaka wamekimbia kambi na kuacha siraha duu Ukrein imeniaibisha.
  13. IZENGOB

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

    Zele ana vijana watundu na wabunifu sana.
Back
Top Bottom