Recent content by izalenician

  1. I

    JamiiForums Tanzania Ligi na mechi zilizowahi kukumbwa na kashfa za upangaji matokeo (match fixing) katika ulimwengu wa soka

    LEARN BEFORE YOU BET LIGI NA MECHI ZILIZOWAHI KUKUMBWA NA KASHFA ZA UPANGAJI MATOKEO (MATCH FIXING) Katika ulimwengu wa soka, Match Fixing ni tatizo la kweli linalotokea duniani kote. Haimaanishi kwamba kila mechi kwenye ligi hizi imepangwa, bali ni ligi ambazo ziliwahi kuwa na uchunguzi...
  2. I

    JamiiForums Tanzania KERO Wajasiriamali wadogo wa manispaa ya Musoma tunatoa wito serikali kuingilia kati suala la ongezeko la ushuru wa siku

    Sisi wafanyabiashara wadogo wadogo wa Manispaa ya Musoma tunatoa wito kwa Serikali, TAMISEMI na viongozi wa Manispaa kuingilia kati suala la ongezeko la ushuru wa kila siku kutoka Shilingi 200 hadi Shilingi 500 kwa wafanyabiashara wadogo kama wauza mboga za majani, karanga, mandazi na biashara...
  3. I

    JamiiForums Tanzania KERO Musoma: Wafanyabiashara Stendi ya muda ya Bweri, tunalia kulipishwa Sh50,000 kwa Vibanda tulivyojenga wenyewe

    Gharama zikipanda ndiyo mwananchi akandamizwe Kwa kunyimwa na kunyang'anywa haki yake
  4. I

    JamiiForums Tanzania KERO Musoma: Wafanyabiashara Stendi ya muda ya Bweri, tunalia kulipishwa Sh50,000 kwa Vibanda tulivyojenga wenyewe

    Kwa mwezi 50000 wakati kule walipokuwa wamejenga wao tulikuwa tunalipa 25000 , kwanini huku tulipoweka nguvu zetu tutozwe 50000?
  5. I

    JamiiForums Tanzania KERO Musoma: Wafanyabiashara Stendi ya muda ya Bweri, tunalia kulipishwa Sh50,000 kwa Vibanda tulivyojenga wenyewe

    Nilao ila tumejenga sisi zaidi ya vibanda mia Kwa pesa zetu Tena Kwa makubaliano stand inayojengwa ikikamilika itatakiwa turudi Kuwa wapangaji wao katika stand hiyo ya kisasa na kama mfanyabiashara atabaki huku ndiyo atapaswa kutozwa pesa , Tena pesa za wanachi masikini ambao Bado tunapambania...
  6. I

    JamiiForums Tanzania KERO Musoma: Wafanyabiashara Stendi ya muda ya Bweri, tunalia kulipishwa Sh50,000 kwa Vibanda tulivyojenga wenyewe

    Kwa mwezi na tutume maombi 30000 kuomba kibanda ulichojenga mwenyewe !
  7. I

    JamiiForums Tanzania KERO Musoma: Wafanyabiashara Stendi ya muda ya Bweri, tunalia kulipishwa Sh50,000 kwa Vibanda tulivyojenga wenyewe

    Sisi wananchi na wafanyabiashara wa Stendi ya Muda ya Bweri, Manispaa ya Musoma, tunatoa wito kwa Serikali na mamlaka husika kusikiliza kilio chetu kuhusu agizo la kutakiwa kulipa shilingi 50,000 kwa kila kibanda ambacho tulijenga kwa fedha zetu wenyewe. Mwaka 2025 tulihamishwa kutoka eneo letu...
Back
Top Bottom