Recent content by izahaki444

  1. izahaki444

    JamiiForums Tanzania Diva wajibizana vibaya na Diamond Clouds Fm kwenye kipindi cha XXL

    Diamond hana jipya kazi kujikomba kwa wanasiasa,elimu hana na bado dogo xan, mwisho wake na yeye ni otober 25. Nina hasira naye kwa kauli yake ya janaa jukwaani kama nin! Ameishi Tandale leo hii anajifanya mjanja kwa lipi? Mashabiki zake wamemkacha wengi tuu.
  2. izahaki444

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA Edward Lowassa, akiwa kwenye daladala leo asubuhi

    asante xana Raisi wetu mwema.october njia ya IKULU nyeupee kama nywele zako
  3. izahaki444

    JamiiForums Tanzania GE2015 Mzee Mkapa: Wanaosema Wanataka Kuikomboa Tanzania ni Wapumbavu na Malofa

    achakupotosha umma wew, nawasisi wew ni mhamiaji na haujui kiswahili fasaha.
  4. izahaki444

    JamiiForums Tanzania Breaking news:mwakibinga ahamia act-wazalendo leo

    Hana jipya,nampa pole sana
  5. izahaki444

    JamiiForums Tanzania Antony Komu apitishwa Moshi Vijijini kugombea ubunge Chadema

    Wapa, nape hakushinda ila wamempa viti maalumu ili apate ulaji, na mwaka huu ndyo mwisho wake wa zarau
  6. izahaki444

    JamiiForums Tanzania RASMI; UKAWA Kanda ya kusini umevunjwa na mwenyekiti na mratibu

    Mwaka huu mtavumisha kila kitu,ila sisi letu moja tuu ni Kushinda kwa kishindo
  7. izahaki444

    JamiiForums Tanzania Lowassa azidiwa na kuanguka nyumbani kwake Masaki

    Umechanganjikiwa wewe, hata kama akiweka koti lake na magufuli==== Lowassa ndye mpango mzima
  8. izahaki444

    JamiiForums Tanzania Ngeleja chaguo la Watanzania, Lowassa chaguo la CHADEMA

    Hoja yko ninakuunga mkono 100% hamna kiongozi atakayetuletea maendeleo zaidi ya Mh.Lowassa, na tukifanya makosa tutayajutia miaka 10
  9. izahaki444

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa Mradi wa Mabasi yaendayo Kasi(BRT) Dar - Agosti 17, 2015

    Pesa za walipa kodi hizo. Hamna chakumsifu hata kimoja
Back
Top Bottom