Hakuna cha Unatural wowote mkuu. Mbona maSolar panels kama yote? Kama ni kuishi Natural tulitemea kuona zile taa almaarufu kama vibatari(Mdudu) au walau zile za Chemli. Sio vitu complicated kivile.
Sio Bibi tu; mtu yeyote hana uhakika na siku/tarehe yake ya kuzaliwa. Wote huambiwa au hupewa hiyo Taarifa akishapata akili. Hata hivyo vyeti sio vya kviamini sana kwani navyo huandikwa na watu huko Hospitalini. Cha msingi hapo ni kwamba (kama ulivyosisitiza hapo) Tumezaliwa. Hayo mengine sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.