Recent content by Iyerdoi

  1. Iyerdoi

    Je ushawahi kulala lock up? Ilikuwaje mpaka ukalala?

    Ila cha ajabu wanakuwepo baadhi yao hao hao Polisi kituoni wana huruma na wanakupa connection namna ya kutoka - wenyewe wanaita kuchomoa.
  2. Iyerdoi

    Je ushawahi kulala lock up? Ilikuwaje mpaka ukalala?

    Wewe itoshe tu kujua kwamba pale Lock up ndo mahali Polisi wanapowakomoaga raia. Kigezo ni ww tu uwe ni mtuhumiwa - utaingia.
  3. Iyerdoi

    Magaidi wa Hamas waanza kuuana wao kwa wao!! Malipo ni hapa hapa duniani!!

    Duh! Kweli kiongozi umewakinai Wapalestina. Mbona sasa wanaosemekana wamefikia upeo na wanauana wenyewe kwa wenyewe ni magaidi wa Islamic Resistance Movement almaarufu kama Harkat al-Muqawamah al-Islamiyyah i.e. HAMAS? Sijasikia kwa wale wa vyama vingine vilivyopo.
  4. Iyerdoi

    Magaidi wa Hamas waanza kuuana wao kwa wao!! Malipo ni hapa hapa duniani!!

    Mkuu; hebu tuliza munkari kidogo kwanza tuongee. Wapalestina hawana shida au tuseme hawana ukorofi. Ukorofi uko kwa kundi la kigaidi HAMAS. Kumbuka hapo Gaza yapo makundi mengi ya kisiasa zaidi ya 7. HAMAS is just one among them.
  5. Iyerdoi

    Magaidi wa Hamas waanza kuuana wao kwa wao!! Malipo ni hapa hapa duniani!!

    Hapana; Hapana kabisa mkuu. Unapaswa kuzingatia kuwa, wale wa kule ni mabikra (chombo brand new) ilhali hawa wenye U.T.I barabara zimejaa mashimo kutokana na magari yenye uzito mkubwa kupita kiasi kuharibu huku magari mengine yakijipitia kiholela barabara za reserve pembeni.
  6. Iyerdoi

    Magaidi wa Hamas waanza kuuana wao kwa wao!! Malipo ni hapa hapa duniani!!

    Nakazia hoja. Huwa najua kuna Mungu wa kweli lakini pia kuna mungu wa Uongo. Huyo mungu wa uongo ndiye mpenda Machafuko, Mauaji, Vita, anahamasisha Fitna, Ujeuri na kila aina ya machukizo mbele ya huyo Mungu wa kweli. Mungu wa uongo ndiye anayemiliki Fahari zote za dunia hii.
  7. Iyerdoi

    Magaidi wa Hamas waanza kuuana wao kwa wao!! Malipo ni hapa hapa duniani!!

    Broo; Hawawezi kuwazidi kwa utamu wale mabikra kule Firdaus halafu ukizingatia tena kuna na mito ya pombe, dah! Hawa wa hapa duniani si lolote wala chochote. Wanatelekezwa tuu wakae hapo.
  8. Iyerdoi

    Tv channel-14 ya Israel ikitoa uchambuzi jinsi atakavyopigwa Iran!

    Ndiyo. Sisi ni Thomaso. Ngoja tuone ndipo tutaamini.
  9. Iyerdoi

    Magaidi wa Hamas waanza kuuana wao kwa wao!! Malipo ni hapa hapa duniani!!

    Sio Wadau wote humu Jf wana roho ya kuweza kuhimili kuona mauaji ya binadamu mwenzao. Weka tu neno la "Onyo au Tahadhari" ili wale wenye roho nyepesi waangalie at their own risk.
  10. Iyerdoi

    Tv channel-14 ya Israel ikitoa uchambuzi jinsi atakavyopigwa Iran!

    Mhhh! Shambulio litaanza hivi karibuni, shambulio ambalo halijawahi kutokea tangu Vita vya Kidunia vya pili.
  11. Iyerdoi

    Paul Makonda: Arusha sasa inazalisha Magari aina ya Defender na kuyapeleka Ulaya

    Zinatengenezwa = Assembled = zinaunganishwa. This must be Under license. Zinaundwa = zinazalishwa = Pruduced = Fabricated You must have a plant (moulds)to produce the different parts that should be assembled to get the end product. Halafu utaweza kuiandika "Made in hapa-hapa" Kiswahili ni...
  12. Iyerdoi

    Iran, Hezbollah na wenzao mfano mzuri wa upendo wa Yesu Kristo aliyetufia msalabani

    Mkuu; Bila kuathiri hoja na kutoa nafasi kwa wachangiaji ; naomba usome comment # 17 iliyotolewa na satirical Yet Awesome hapo juu. Kwa nyongeza HAMAS na Hezbollah wanatumia itikadi ya Uislam kuhalalisha hicho wanachokifanya i.e. hawaitambui hiyo hoja yako ya Upendo wa Agape. Kwa maneno mepesi...
  13. Iyerdoi

    Iran, Hezbollah na wenzao mfano mzuri wa upendo wa Yesu Kristo aliyetufia msalabani

    Mkuu; mbona unamwekea Yesu Kristo maneno ya kinywa chako katika kinywa chake? Nanukuu: Unasema "Hebu tujikumbushe upendo walio nao Hezbollah, Iran, Houthi au wale wengine wa kule Iraq kwa ndugu zao wa Palestina walioko kwenye jitihada zao kuupata uhuru wao". 1. Hivi ni kweli Wapalestina wako...
  14. Iyerdoi

    Ujumbe wa Netanyahu kwenda kwa mamlaka ya Lebanon na watu wake

    Mkuu; Yan Karne hii; ado kuna baadhi ya watu na akili zao wanadiriki kusema "hapa kwangu" na tena "hapa kwangu" ? Nani alikuja hapa duniani na ardhi??? i.e. Mtu aliyezaliwa ameshika walau kiganja (fumbate) cha ardhi?? Nani aliyekwisha ondoka hapa duniani walau hata na kipande cha udongo ambao...
  15. Iyerdoi

    Ujumbe wa Netanyahu kwenda kwa mamlaka ya Lebanon na watu wake

    OK. Hebu chukulia hii scenario kwamba una mbwa wako mkali halafu umeenda naye porini na kwa bahati mbaya ukakutana na simba. Mbwa wako akarudi na kukimbilia miguuni pako. Utaendelea kumsakizia mbwa wako eti kamata simba? Somo: Wewe ni Iran; mbwa ni Hezbollah; simba ni Israel.
Back
Top Bottom