Recent content by ivaiva

  1. I

    JamiiForums Tanzania Call for interview Tume ya Utumishi wa Mahakama

    Nimepita mtandaoni wamesema wote wameitwa hebu ngoja tusake gazet badae nitaleta jibu
  2. I

    JamiiForums Tanzania Call for interview Tume ya Utumishi wa Mahakama

    Mmh not true mbna wengne hatujaitwa??
  3. I

    JamiiForums Tanzania Majina ya walioitwa usaili mahakama

    Majina ya walioitwa mahakama
  4. I

    JamiiForums Tanzania Call for interview Tume ya Utumishi wa Mahakama

    Mi mwenyewe nayatafuta maana nilituma maombi
  5. I

    JamiiForums Tanzania Call for interview Tume ya Utumishi wa Mahakama

    Wahasibu, secretaries, watu wa records, etc
  6. I

    JamiiForums Tanzania Kuitwa kwenye interview tume ya mahakama

    Nimesikia hata dailynews la trh 28 jamani ataeliona na mimi niliomba
  7. I

    JamiiForums Tanzania Kuitwa kwenye interview tume ya mahakama

    Zile za mara ya kwanza watu walishaanza na kazi mbona??? Hiz za September ndo bado hawajaita
  8. I

    JamiiForums Tanzania Kubadili dini

    Kwa hyo tukisema umuache utamuacha??
  9. I

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa ndoto yangu anaitajika kwajili ya kuoana

    Here I am😀😀😀😀
  10. I

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina Diploma ya Records Management

    Mtu anajibu kulingana na post ya mtu ina maana mpka mtu anasema humu ujue yashafika shingon hebu pitia ya huyo unknown ingekuwa ww ungemjibu nn
  11. I

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina Diploma ya Records Management

    Kwan ni wote wenye diploma wameanzia certificate?? uache ujinga wewe kama huwezi kusaidia pita👉👉👉👉👉👉👉sio lazma kila thread uchangie
  12. I

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina Diploma ya Records Management

    Naziona sana sema wanataka wa certificate na sio dioloma
  13. I

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina Diploma ya Records Management

    Habari wana jf! Natafuta kazi ya Records and archive management assistance nina diploma ya records.
Back
Top Bottom