Recent content by Itug

  1. Itug

    Past papers, Mifumo ya matokeo

    JIUNGE NA CHANNEL HII UPATE PAST PAPERS NA MARKING SCHEMES ZA MIKOA YOTE TZ PAMOJA NA MIFUMO YAKUCHAKATA MATOKEO BURE. Channel iko hapa MOCK PAST PAPERS ALL TANZANIA REGIONS
  2. Itug

    Lesson Plans na Scheme of Work masomo yote kuanzia Form 1 hadi 6

    Download scheme of work (edit) na tumie. kumbuka kuedit ipasavyo. punguza uvivu. NARUDIA TENA! Edit Lesson plans nazo zipo za masomo yote, lkn edit! please edit zikufae! NI BURE KABISA! ingia www.jihudumieschool.com
  3. Itug

    TEMPLATE (Mifumo ya matokeo) ZA MATOKEO ZA EXCEL, googlesheet na Html offline

    Karibu tukupe mfumo mzuri wa kuchakata matokeo kwa shule zote nchini hata zile za mitaala mpya tunazo. zipo kuanzia primary hadi vyuo vya ufundi. nipigie 0682744740 tujadiliane! tembelea pia www.jihudumieschool.com ujipatie mfumo wa ya majaribio (trial)
  4. Itug

    Je, mwanafunzi anayesoma EGM ni rahisi kufaulu?

    Matusi uanze wewe ukijibiwa unatoka povu! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Swali kabla hujaswaliwa Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Itug

    Je, mwanafunzi anayesoma EGM ni rahisi kufaulu?

    Rahisi sana! Hata wasipohudhuria shule na wasisome na wasijishuhulishe na chochote kinachohusu shule, akiingia tu kwenye chumba cha mtihan, anatoka na div 1 ya 3. Kwa kifupi EGM hata kama hujui kusoma unafaulu tu! Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Itug

    Mifumo ya matokeo na ripoti

    Tazama picha Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Itug

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Arusha na mbeya? [emoji847] Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Itug

    Mifumo bora kabisa ya matokeo na ripoti ipo

    Whatsap me to get the trial version Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Itug

    Mifumo bora kabisa ya matokeo na ripoti ipo

    Mifumo ya matokeo kwa shule za msingi na sekodari upo na unapewa mfumo wa trials ukiupenda tunakutumia mfumo kamili! Usiteseke kuandika ripoti kwa mikono kwenhe zama hizi za TEHAMA mifumo yetu pia ipo yenye ad ins za sms huna haja ya kuistall.application zingine kutuma sms za matokeo kwa...
  10. Itug

    Mfumo wa matokeo na ripoti kwa shule za msingi huu hapa

    haina mkubwa! nakumbuka niliahidi kukutumia yenye ratiba, naomba iwe jwa temu ijayo ili mdaa wa likizo nikutumie, sasaivi mambo mengi kidogo Mkuu!
  11. Itug

    Mfumo wa matokeo na ripoti kwa shule za msingi huu hapa

    Leo nawaletea kazi y mikono nzuri kabisa bure kw shule za msingi na sekondari! Usiteseke kuandaa ripoti kwa kuandika kwa mikono, jaza maksi tu na unapata ripoti tayari kuprinti! Hata kama huna printer/photocopy machine jaza maksi nenda print wanakoprint! Enjoy! Absolutely free! Kama unataka...
  12. Itug

    Mifumo ya kuchakata matokeo

    Mifumo yetu inapatikana kwa offline na online, kwa microsoft excel na google sheets. Tunashauri uwe na computer kwa offline template Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Itug

    Mifumo ya kuchakata matokeo

    Inawezekana mkuu! Nitext whatsap nikutumie Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom