Mfumo wa matokeo na ripoti kwa shule za msingi huu hapa

Itug

Senior Member
Mar 19, 2011
195
68
Leo nawaletea kazi y mikono nzuri kabisa bure kw shule za msingi na sekondari! Usiteseke kuandaa ripoti kwa kuandika kwa mikono, jaza maksi tu na unapata ripoti tayari kuprinti! Hata kama huna printer/photocopy machine jaza maksi nenda print wanakoprint! Enjoy! Absolutely free!

Kama unataka kujua zaidi wasiliana na nasi namba ziko kwenye mfumo! View attachment JIHUDUMIE.COM_070713.xlsx

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo nawaletea kazi y mikono nzuri kabisa bure kw shule za msingi na sekondari! Usiteseke kuandaa ripoti kwa kuandika kwa mikono, jaza maksi tu na unapata ripoti tayari kuprinti! Hata kama huna printer/photocopy machine jaza maksi nenda print wanakoprint! Enjoy! Absolutely free!

Kama unataka kujua zaidi wasiliana na nasi namba ziko kwenye mfumo! View attachment 2619275

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii mbona haina ratiba?????
 
Back
Top Bottom