Recent content by Itika Temu

  1. Itika Temu

    JamiiForums Tanzania Ccm siasa ya arusha imewashindwa kabisa

    Kwa hio mnapakatwa wote.maana kama mnampenda kama mtoto na sifa ya kupakatwa ipo.basi makamanda mna kazi.mtaweza kuvunja hata biskuti kweli?
  2. Itika Temu

    JamiiForums Tanzania Ccm siasa ya arusha imewashindwa kabisa

    Yuko kwenye mambo yaleee yepi tena? Au mambo yake?
  3. Itika Temu

    JamiiForums Tanzania Ccm siasa ya arusha imewashindwa kabisa

    Acha kudanganya uma mko tayari kufa nae? Mbona bomu la SOWETO kila mtu alipita njia yake.muulizeni LEMA alibadilishia wapi magwanda? Akavaa kiraia
  4. Itika Temu

    JamiiForums Tanzania Mnaonaje hii?SAMMUEL SITTA president,na POMBE MAGUFULI Pm?

    Staili anayoitumia EL ndio aliyoitumia kumuingiza madarakani JK au hujui MTANDAO ulikuwa je na ninani alikuwa kiongozi wa WANA MTANDAO?
  5. Itika Temu

    JamiiForums Tanzania Mnaonaje hii?SAMMUEL SITTA president,na POMBE MAGUFULI Pm?

    Binadamu asie nashukurani ni wewe! Wengine wana shukrani.mtazamo wa mtu mmoja hauwezi kuwa wa mwingine na haiwezekani mtu akubaliwe na watu wote katika maisha
  6. Itika Temu

    JamiiForums Tanzania Yupi Kati ya hawa ungependa awe rais wa Tanzania 2015?

    Lowassa
  7. Itika Temu

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya Watanzania wanampenda Lowassa pamoja na Kashfa zake?

    Suala la Richmond lilishaeleweka kwa wengi.alijiuzulu kwa kuwajibika je Ali Hassan Mwinyi alipojiuzulu ni aliuwa kule Shinyanga? Kagasheki aliwajibika pia majuzi je alihusika?
  8. Itika Temu

    JamiiForums Tanzania Prof lipumba kuteuliwa ubunge na kupewa uwaziri wa fedha na uchumi,je cuf watakubali?

    Lipumba asikubali? Katika maisha unadhani anatafuta nini?
Back
Top Bottom