Recent content by itede votata

  1. itede votata

    Sina maana ya kuubeza urafiki lakini nazidi kukazia stay very close na ndugu na familia yako, Marafiki ni wa muda tu

    Yoyote anaweza kukusaliti ama kuwa msaada kwako enenda na nyakati. Tunahitaji wote adui na wema. Fikiria Kila kitu kingekuwa sawa bila changamoto maisha yasingekuwa na maaana.
  2. itede votata

    Mimi ni Mtanzania, lakini kwa huu msimamo wa Bashe kwa Malawi huu sio uungwana wala ujirani mwema

    Negro bashe yupo sahihi kabisaaa, infwacti tumekuwa waungwana saana kwa wanakusini tangu zama tukidhani ni ndugu zetu kwa Kila nyanja... Wakitubepari nasi tutawabeberusha. Niamini nafanya biashara na nchi hizi
  3. itede votata

    Dada Zetu hadi unafika hatua ya kujiuza/ukahaba/umalaya au u barmaid ni kwamba umekoswa kabisa kazi ya kufanya?

    Watu wanapigana masumbumbwi ( ndondi) ili tu wapate kipato, wengine wanavuja jasho wakikata mauno kunengua majuakwaani kumudu gharama za maisha Nini ukahaba watu wanafisadi, wanaiba, wanaaaaaa muhimu kuchora mstari wako kwa maslahi yako.....
  4. itede votata

    Inaumiza sana mzazi kusomesha mtoto degree ya udaktari, ajira hapati anaishia kuwa muuza pafyumu kwa kucheza cheza mtandaoni wateja waone bidhaa

    Shida ni kutotumia taalauma yake au kutoajiriwa? Vipi Kama huko Kuna kipato zaidi?? Vipi madakitari wasomi wanapokuwa wanasiasa je wanatafuta malisho zaidi??
  5. itede votata

    Wageni wanapewa dhamana ya kusimamia rasilimali zetu kwa sababu wazawa wamekuwa wakihujumu shughuli za Kiserikali

    Loh kwamba hatuwezi kitu........ Basi hao mabwanyenye wapewe mamlaka za maji na umeme pia maana kero zimezidi.
  6. itede votata

    Mahujaji wapewe ruzuku kuwasaidia kulipia gharama za VISA, ticket na malazi

    Ibada ya hija na kutoa sadaka inapendeza zaidi pale unapogharamika kwa ajili ya mungu wako, naambiwa wasio na uwezo mungu anawasamehe wasipofanikiwa kuhiji..
  7. itede votata

    Nawatesa majirani na maisha yangu kuwa siri yangu

    Palisemwa ......"masikini akipata,.....
  8. itede votata

    Nimegundua nipo kwenye level ya mwisho kabisa ya Maumivu

    Kila mtu Kuna vile anavyopitishwa katika mapito yake, mbaya zaidi Ni kubeba mbegu za mapito na kusonga nazo hapo utazalisha majuto kila uchwao.... Pengine baada ya muda utajiuliza kweli Mimi niliandika andiko hili??
  9. itede votata

    KERO Responded Vyoo vya Umma katika Stendi ya Nyegezi Mwanza havina maji zaidi ya mwezi

    Ukute mtoa huduma za vyoo halipii bili za maji mpaka akatiwe.
  10. itede votata

    Toyota waja na toleo jipya Landcruiser 300

    Zamani wahenga waliyaita mashangingi enh huenda toleo hili tukalita Mashangazi.
  11. itede votata

    Licha ya Maisha kukosa furaha kwa binadamu ; kwa nini watu bado wanapambana kuzaliana (kuongeza watu wengine)

    Changamoto na utatuzi wake ndio vinavyosisimua maisha. Faraja huwa tamu zaidi baada ya magumu.
  12. itede votata

    Hakuna umuhimu wa kuwepo kwa A-LEVEL na vyuo vya kati kwa wakati mmoja .

    Mwamba unahoja ya msingi.... Wacha wajuzi waje waijaze nyama naamini mabwanyenye wataichungulia na kuichakata.
Back
Top Bottom