Kama maeneo yanaruhusu, tumia muda wako kufanya mazoezi asubui, kimbia au tembea, hii inakupa muda mzuri sana wa kuwaza na kuchambua mambo, dont stay idle. Kama uliweza kupata mwanzo basi utapata tu tena, kupoteza ndio changamoto za kukomaza ili usirudie makosa
Walifuta kweli, Kuna kipindi kweli walizifuta zote, ila walisema ilikua ni makosa, kwaio ikawa ukienda ofisini wanakurudisha. Masharti ulifatisha? Miezi mitatu ya nyuma mfululizo hukuzidi unit 75? Hiki ndio kigezo chao kikuu
Kaka, hii mada ya mda but am interested. Hivi malipo ni 9950 au 9150? Mwanzo nilikua najua ni 9500, then kuna mtu akaja niambia ni 9150, so kwa muda sana sasa nalipa 9150, ukiplus na haya makato unit zinazidi tu kushuka! Now napata 62 mostly! Kimtazamo ni bora hii 1500 wangeiongezea juu yake...
Ni binaadam pia, baba wa familia, ndugu wa watu, kuna watu wanawaangalia ivyo na sio boda boda. Uangalifu sometime ni stress tu japo sometimes wngn ni huĺka tu.
Kuna zile dawa za kienyeji za cku 3, alishawahi jaribu na izo? My frend aliumwa and ilikua yaendea stage mbaya, alitumia. Na kufata masharti ya msosi now is well, anafanya vyote, na kula kila kitu. Tho yeye alkua hajafikia hatua ya vidonda.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.