Rais Magufuli amefanya mabadiko madogo kwa kumteua Balozi Kijazi aliyekuwa balozi India kuwa Katibu Mkuu Kiongozi mpya nafasi iliyokuwa ikishikiliwa na Balozi Ombeni Sefue, inasemekana Ombeni Sefue atapangiwa kazi nyingine.
Mwanzoni niliweka post hii moderator kafuta, nimerudia tena.
Source...
Taarifa za uhakika nilizozipata na za uhakika ni kuwa Rais Magufuli kafanya mabadiliko madogo ambapo amemtumbua Balozi Ombeni kuwa atampangia kazi nyingine na nafasi yake sasa atachukua Balozi Eng. Kijazi aliyekuwa balozi India.
Maswali, au ni kashfa zinazozagaa zikimuhusu Ombeni au haendani na...
usinitukane lakini, naomba nikupe elimu ndogo tu, Serikali husaidia Wananchi wake hata kwa gharama yeyote ile mfano kivuko kiwe kinapata hasara au la - haijalishi ( social benefit to the public) na mfano mwingine ni pale Kenya kuna Kivuko Mombasa kinavusha watu bureeeee, lengo ni kama...
Leo Dkt.Magufuli amewaongoza wananchi wa Dsm kwenye majaribio ya uzinduzi wa Kivuko kipya Cha MV DAR ES SALAAM kitakachofanya safari zake kati ya Dsm na Bagamoyo, ambapo mamia ya wananchi wakiongozwa na Waziri Magufuli wamesafiri bure kutoka Dsm kwenda Bagamoyo na kurudi.
Kivuko hicho...
Unatumika vibaya, Magufuli ni Waziri pekee aliyekaa Wizara ya Ujenzi miaka kumi na Sita. Angekuwa na mkono mrefu hiyo Wizara siku nyingi angekuwa hayupo kwa kashfa, kwanza ni Wizara yenye vishawishi vya kila aina.
Ni Waziri pekee mwenye recodi ya utendaji kwa miaka 20 sasa. Huyu amekomaa...
unatumika vibaya, Magufuli ni Waziri pekee aliyekaa Wizara ya Ujenzi miaka kumi na Sita. Angekuwa na mkono mrefu hiyo Wizara siku nyingi angekuwa hayupo kwa kashfa, kwanza ni Wizara yenye vishawishi vya kila aina.
Ni Waziri pekee mwenye recodi ya utendaji kwa miaka 20 sasa. Huyu amekomaa...
Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Chato Dkt. John Pombe Magufuli amelaani vikali tukio la kikatili la kutekwa na kuuawa kwa mtoto Yohana Bahati pamoja na kujeruhiwa vibaya kwa mama mzazi wa marehemu na watu wasiofahamika.
Akizungumza kwa masikitiko makubwa jijini Dar es Salaam...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.