Mimi majibu ya Lowasa kuhusu tuhuma zake za ufisadi popote anapozisema nakua sipati majibu mazuri na kumwelewa,dr slaa hakutoka ccm na kashifa kama za Lowasa,mimi kwa mtazamo wangu nahisi mzee hajaridhika na majibu ya mwanachama mpya Edward ndo akamua bora apumzike.
wanachotakiwa kujibu hawa jamaa wa helsb ile bilioni 325 imetumikaje kwa idadi ndogo ya watu waliopewa mikopo kinyume na hotuba ya bungeni,swala la majina sidhani kama ni tatizo.
Na cha kushangaza kuna watu wamemaliza form four 2005,na diploma 2011,bado familia zao ni tajiri na zinafahamika,sielewi hawa jamaa wanatumia vigezo gani aiseh!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.