Recent content by Investaa

  1. Investaa

    Msaada kuhusu "Import Fees on Amazon"

    Habari wana JF. Kuna bidhaa nataka ninunue AMAZON ila bado sijaelewa kwa uzuri kuhusu import fees. Kama kuna mdau alishawai kuagiza bidhaa kutoka Amazoni naomba ufafanuzi zaidi.
  2. Investaa

    Kuwa wakala wa p2p binance

    Sure
  3. Investaa

    Kuwa wakala wa p2p binance

    "In escrow" is a type of legal holding account for items, which can't be released until predetermined conditions are satisfied.
  4. Investaa

    Kuwa wakala wa p2p binance

    Sio lazima uwe na $1000, ata $100 unaanza biz. Sema changamoto ni faida ndogo sana labda uwe unajua kitu kinaitwa ARBITRAGE TRADING ndio utapata faida kubwa. Ikiangalia bei ya kununua na kuuza zinafanana sasa faida unapata wapi mkuu labda uwe na lain za uwakala ulipe commission mwisho wa mwezi...
  5. Investaa

    Je, unaamini katika kuwekeza? Nina wazo la biashara kuanzia 10/20m ( kuuza unlimited internet buku tu kwa siku mteja atatumia hata gb 500 yeye tu

    Veepe security? Mtu akilipia na muda wake umeisha unawezaje kumtoa bila kuhadhili wengine kwenye huduma? Utakuwa unawaunga vipi hao individuals?
  6. Investaa

    Biashara ya Internet mtaani

    Kama king'amuzi cha azam. Unalipa mwanzo au mwisho?
  7. Investaa

    App Gani inaweza pata watumiaji Wengi Tanzania

    Tengeneza status saver na weka matangazo ya ADMOB / MAN, then tafuta traffic SA/Brazil. Umemaliza mchezo bongo hakuna pesa man. Kama developer utakuwa umenielewa. Hapo chini app ya status yenye matangazo ya Meta Audience Network(MAN).
  8. Investaa

    Ushauri Jamani on App Marketing [emoji120]

    Kama ni una tafuta traffic ya bongo umefel tayari. Ungetengeneza app ya status saver then uka tafuta traffic SA/Brazil hiyo 500k kwa wiki inarudi chapu tu.
  9. Investaa

    Sababu namba moja iliyofanya kampuni ya ndege za boeing kuanguka kimauzo!..

    Tarehe kama ya 15 Mei 1916, katika anga za kibiashara nchini Marekani, kampuni ya ndege ya Boeing ilizaliwa chini ya uongozi mahiri wa mwanzilishi wake, William Boeing. Ikiwa na lengo la kutoa ndege bora na zenye ufanisi, Boeing ilipata mafanikio makubwa katika miaka iliyofuata. Mafanikio hayo...
  10. Investaa

    Biashara ya Internet mtaani

    Hapana, wewe unatoa huduma ya wifi ambayo haihusiana na mitandao ya simu.
  11. Investaa

    Biashara ya Internet mtaani

    Ni router ni BURE. Unalipia vifurushi tu.
  12. Investaa

    Biashara ya Internet mtaani

    hadi 100 wanazo voda
Back
Top Bottom