Recent content by Issma_jembe

  1. I

    Nakubaliana na Mheshimiwa Rais, Ni kweli tunataka uraia pacha, lakini sisi wenyewe hatuupigii debe

    kuwa na uraia pacha kutasaidia kuweza kuwarudisha watz wengi ambao wapo ughaibuni na waliweza kuukana uraia kwa sababu za kiuchumi,ajira na kimichezo kuweza kujisajili upya na nchi asilia yao.. mimi naona tatanufaika nayo sana iyo
  2. I

    Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Ijumaa Tarehe 21 Machi 2014 - Hotuba ya Rais, Uzinduzi wa Bunge Maalum

    Kabisa ndugu jamaa anauma na kupuliza....huyu jamaa mbaya sana,anajua kucheza na akili za watz
  3. I

    Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Ijumaa Tarehe 21 Machi 2014 - Hotuba ya Rais, Uzinduzi wa Bunge Maalum

    Raisi anakubaliana na kauli ya Mtikila Wakati wenyewe wa mabadiliko ndio huu...hahaha
  4. I

    Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Ijumaa Tarehe 21 Machi 2014 - Hotuba ya Rais, Uzinduzi wa Bunge Maalum

    Maccm babayenu anasimamia maslahi ya wananchi si ya chama kilichozeeka na kuhodhi madaraka....changanyaeni na zakwenu....kha!!!!!
  5. I

    How to identify twins

    Mmoja ana sura nene/pana na mwingine sura nyembamba pia mmoja ana nyusi nyingi kuliko mwingine....mimi nimegundua hivyo
  6. I

    Bungeni pawaka: KURA YA SIRI vs KURA YA WAZI

    Maccm bhana yameshakata umeme tayari....aaaaaggghhhh hii nchi bhana au kwa kua mh prof Lipumba anatema cheche,haya ndgu zangu mlioko kene maeneo yenye umeme mtujuze kinachoendelea:(:eek::eek::eek:
  7. I

    Dr. Slaa afanyiwa hujuma Kalenga

    Mkuu naona unajribu kuibadili bluu kuwa njano
  8. I

    Dr. Slaa afanyiwa hujuma Kalenga

    Hayo yote yanafanywa na makada/maccm kwa huhofia nguvu ya chadema especially Dk Slaa..but wakae wakijua jimbo la kalenga c lao tena,huyo mwengereza waliempandikiza hapo haezi chukua jimbo kwani hata wanakalenga wenyewe wanajua mchezo mzimz ambao ccm wameufanya kuanzia kwa bba mpaka mtto kuwekwa...
  9. I

    Bungeni pawaka: KURA YA SIRI vs KURA YA WAZI

    Wajumbe na wabunge wa ccm wanaogopa kura ya siri kwa kuwa miongoni mwao wapo ambao haeakubaliani na msimamo wa chama chao,so wanaona njia sahihi ya kuepuka usaliti baina yao.... NB Duniani kote katika demokrasia kura huwa ya siri na matokeo huwa ya wazi....hivyo Yaan:cool:
  10. I

    BUNGE LA KATIBA: Yanayojiri leo tarehe 27/02/2014

    Usishangae mkuu watu kama akina sixtus mapunda wako wengi ndani ya bunge hili la katiba,,,,wanatumika na akili za kushikiwa na ushabiki wa kichama....lol
  11. I

    BUNGE LA KATIBA: Yanayojiri leo tarehe 27/02/2014

    Ushamba na ushabiki vinaeazuzua...:(:D
  12. I

    Yanayojiri kwenye pingamizi la CHADEMA dhidi ya mgombea wa CCM Kenga

    Mwisho wa janja yao walokuwa wanafanya miaka 37 ya uhuru ya kupiga sarakasi kene chaguzi hatimae umefika,watafute mbinu mpya.....wezi haaoooooo.....
  13. I

    Bunge la Katiba halina mamlaka kisheria kubadili chochote kilicho ndani ya rasimu!

    Ndio maana wameamua nakuiingiza sheria ya kutokuhusiha kamati kuu ya jaji warioba kutowhiriki kwenye bunge la katiba ili wafanye hayo madudu yao....ccm bhana!!!!!!!!
  14. I

    Watanzania tunaaminishwa vibaya kuhusu CHADEMA

    Naona sasa BEN umekuwa mtabiri wa kubashiri yajayo...haya tuambie na mvua itanyesha lini??
Back
Top Bottom