Makonda kaingia kichwakichwa bile kutafakari anachofanya nini kaonekana hadharani alichofaya huwezi kujificha katikati ya Barbara useme mtu hatakuona ni ujinga alioufanya
Hakuna mtu au jeshi linaloweza kuzuia nguvu ya uma naishauri serikali kufanya mambo kwa uwazi badala ya kutoa vitisho ukimkimbiza sana mjusi baadae atageuka kuwa nyoka wananchi wanauwezo Wa kufanya chochote
Wewe unatafuta vigezo ambavyo havina tija kwako badala ya kusema umpate mtu mwema na anayekupenda kwa moyo Wa dhati acha mawazo potofu umpate mtu anayekufaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.