Sasa umejibu vizuri mkuu,sikuwa nmekuelewa ile mwanzo uliposema sodium carbonate inaremove minerals,ndo maana nikaomba ufafanuzi,na ulichokieleza hpo ndo kazi kubwa ya soda Ash,lakin pia umesema raw water ina pH below 6?hpo sikuungi mkono,n afikiri ni treated water kwa maana y maji yaliyotoka...
Pole sana mkuu,nataka nikuambie hii thread ni ya water quality,kwa iyo kuuliza kitu Yule anaejua jibu sahihi atakuja jibu,kwa iyo wakat fulani unaweza usipate unachouliza kulingana n reply za baadhi y watu,nmefuatilia conversion zenu n aliekuwa anakujibu kana kwamba hamkuelewana,but ucjal be...
Mkuu your smart,kujibu swali lako si rahisi kufanya analysis za maji mtu ambaye hana knowledge ya water quality,sababu ata ukiwa n vifaa vya kupima ayo maji utashindwa ku-interpret results ulizopata ili uchukue action stahiki,swali lako lapil iyo case uliyosema haikuwa dar nzima,n ilichangiwa n...
Swal zuri mkuu,maeneo uliyotaja hpo yote yamemekuwa n maji y chumvi sababu kubwa ni ya ki-hydrology, kwamba mkondo wa maji chumvi umepita maeneo tajwa hpo juu,n usishangae pia maeneo ayoayo uliotaja hpo ukakuta ndan y ayo maeneo let say kigamboni utakuta c kigamboni yote una maji chumvi,ndo hpo...
Mkuu,mbn umemjibu kirahisi sana usitake nihamini kama ww s water quality expert,wakat nakuamini we n miongoni mwetu,sababu unaweza kuta kisima chake kipo karibu n industrial area let say battery industry n wanadischarge waste water as final waste karibu n kisima chake unafikiri ayo maji yanafaa...
Mkuu am not sure kwa swali lako,ila nafkiri Hardness determination n key parameter,kwa sababu determination iyo itakupa mwanga kujua Maji yko yana salt kiasi gani though kwa case ya salty unaweza fanya ata salinity determination,ndo maana salt water siyo reccomended kwa construction,n kwa iyo...
Mkuu swali lako liko very closed,nikiimanisha halijakuwa specific,unapozungumzia visima,c visima vyote vina maji yanayofanana kwa maana kiasi cha minerals contents,vpo visima ambavyo ukichimba ukionja maji yke utafikiri umelamba chumvi,sasa kisima km iko maji yke pia yatategemea unafanya...
Nmegundua kitu kimoja,wakat fulan elimu y darasan inaweza kuwa useless compared to reality,look!unasemaje et TDS haina uhusiano n pH did you what is TDS?,bila shaka ww huna knowledge ya neno minerals,n pia nna mashaka ata km umewahi ku work ktk field za maji,n km umewah kufanya basi...
Exactly,ndo maana tunajaribu ku guess tu coz muhusika angejieleza vzr angepata technical advise,ata km angetumia litmus paper acngepta different kubwa kiasi icho though litmus paper inahitaji macho mazuri n Mara nyingi huwa rounded off reading n si exactly,ila inatumika utofauti huwa kweny...
Mkuu kitaalamu izo unazoziita minerals contents ktk maji km vile calcium na zingnezo tunazi categorized km Total Dissolved solids (TDS)ambazo Tanzania National standards n (500-1500mg/L)je zmepita iyo range?n km minerals zpo nyingi kwenye maji ni wazi pia pH itakuwa kubwa,kwa case y maji yko hpo...
Mkuu unaposema seasonal variation unamaanisha nn?na umegusia hali Ya hewa nayo npe maelezo yke kvp?na kvp soda Ash (Naco3)huondoa minerals contents?nifahamishe hpo km cjaelewa!Asante
Iyo mkuu n concern yako,pengine ayo ya kununua unanunua let say 500mls ambayo n nusu littre,unazan yatakata kiu yako?,ayo yakuchemsha m wenyewe c unajichotea tu unavyo taka n yanakata kiu,nafikiri kunywa Maji y kutosha mkuu.
Umesema baada ya kuyafungua maji pengine aliyaweka katika mazingira ya acidic how?sijakuelewa hpo mkuu,alowekaje
Maji katika mazingira ya acidic baada y kuyafungua?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.