2021 niliachana na mzazi mwenzangu tulikuwa na watoto wawili tayari, mkubwa Miaka 4 mdogo alikuwa na mwaka na nusu. Akaondoka watoto wangu akawapeleka kwao kijijini yeye akarudi mjini kula Raha, miezi ikapita nikapewa taarifa wanangu wanateseka hasa huyu mdogo amedhoofika sababu ya rishe duni...
Mambo ya hisa sio ya kukurupukia kk kama huna elim nayo. Ni kweli unaweza pata faida kubwa kwa muda mfupi, pia vile vile unaweza pata hasara kubwa kwa muda mfupi ukapotea uringoni. Kila mmoja awekeze anapoweza
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.