Too late wakati wa kuikomboa Tanzania ni sasa na tunatoa pongezi kwa jaji lubuva kwa kubadirisha matokeo ya uchaguz wa urais kutokea pale pale ktk kituo Halis ina maana apo gori la mkono lazima lifeli mabadiriko oyeeeeee
Ile ni timu kila mtu anakaz yake yeye kazi yake ni madogo ya ukweli kuwazimua wale vichwa ngumu wasioelewa wala kuona mustakabari wa Taifa jinsi lilivyoangamia kwa faida ya wachache kama alivyosema bwana John pombe majiz wako wachache
Yule anatamaa amesha nunuliwa alikua wp siku zote vikao vyote Ameshiriki a naona chama lipo kamili analeta ujinga profesa gani yule au ni profesa kama hawa wa uganga? ?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.