Hbr za uck wapendwa,nimekuwa na mahusiano na dada mmoja hivi kwa mwaka wa pili sasa,tatzo liliopo ni kwamba hyu Dada amekuwa na mawasiliano ya krb sana na kaka yake wa baba mdogo wamekuwa wanachati kama wapenzi,Ukiona SMS Zao,ukiwasikia maongezi yao ni kama mtu na mpenz wake vilee..nimeshaongea...