Recent content by Issa hayola

  1. I

    JamiiForums Tanzania Jamani nimepost tangazo langu la kutafuta rafiki wa kiume ambaye badae atakuwa mchumba na hatimaye

    Hili lijitu ni gubegube! Kweli nimeona ile post yake iliyopita ya kushukuru!! Inastaajabisha.
  2. I

    JamiiForums Tanzania I want to know about this guys!!

    Kwa muono wangu ni kwamba hali ya maisha nayo ndio source kubwa inayopelekea hali kama hiyo. Unakuta katika familia kuna watoto wapatao 8 then anayetegemewa ni baba hata hivyo baba mwenyewe hana kazi ya kudumu bali anategemea vibarua. Je kwa ukweli huu kuna uwezekano wa kupunguza hili tatizo?
  3. I

    JamiiForums Tanzania I want to know about this guys!!

    Habari zenu, jamani nahitaji kujua juu ya suala hili. Hivi ni kwani wasichana wengi huwa wanajiingiza ktk mahusiano ya kimapenzi wakiwa na umri mdogo? Na je, ni kwanini baadhi ya wavulana pia hujiingiza katika mahusiano na wakina mama waliowazidi umri?
  4. I

    JamiiForums Tanzania Swali kwa wahusika wa MMU

    Yawezekana
  5. I

    JamiiForums Tanzania Swali kwa wahusika wa MMU

    Kumbe kwenye ndoa nako kuna visa kama huku kwa akina boyfriend and girlfriend?
  6. I

    JamiiForums Tanzania Upendo ndio jambo la kheri kwa wote

    Marafiki, upendo wa dhati ndilo jambo la kheri baina yetu na wengineo. Hivi inakuwaje mpaka mtu wa tabaka la juu anamchukia na kumtolea maneno makali au hata yenye kukera mtu mwenye tabaka la chini? Kumbuka, mungu hakumjaalia mtu kipato kwa kuja kumnyanyapaa mwingine bali alifanya hivyo kwa...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Swali kwa wahusika wa MMU

    Bahati nzuri bado sijaoa
  8. I

    JamiiForums Tanzania Swali kwa wahusika wa MMU

    Hivi inakuwaje mpaka mwanaume au mwanamke anaamua kuisaliti ndoa yake? Je ni tamaa za pesa au ngono au hata kuichoka ndoa? Nahitaji majibu yenye kuelimisha guys
  9. I

    JamiiForums Tanzania Nakuhitaji unitulize mawazo

    No si mimi. Ila kuna mtu yamemkuta makubwa mpaka kakimbiwa!
  10. I

    JamiiForums Tanzania Nakuhitaji unitulize mawazo

    imefanya nini? Kuna ndugu kakimbiwa na sasa anajuta coz mpaka kiwanja alinunua kwa ajili ya x wake!
  11. I

    JamiiForums Tanzania Nakuhitaji unitulize mawazo

    Sasa kama hajaonekana miezi?
  12. I

    JamiiForums Tanzania Nakuhitaji unitulize mawazo

    Kale kapenzi katamu ulichonipa toka moyoni, na ile michezo mitamu sasa ivi shubiri chungu mdomoni. Macho yangu yezoea kuona tabasamu lako. Come to me baby.
  13. I

    JamiiForums Tanzania Nauza tv flat screen

    yaan kama ulikuwa kichwan kwangu vile!
  14. I

    JamiiForums Tanzania Ni jinsi gani unaweza kuflash simu yako

    Nokia 7210, supernova.
  15. I

    JamiiForums Tanzania Kwa imani yako!

    kiuhalisia yaan sisi waswahili tuna tabia moja, dharau katika mambo ambayo yako active. Fikiria kwamba hili tatizo lingemkuta mdogo wako then mko watatu baina yako, yeye na mama na wote hamjiwezi kumudu hii hali halafu mnapokea majibu kama hayo, hv utahisi vipi katika nafsi yako? Mungu...
Back
Top Bottom