Katika nchi hususan za Kiafrika, watawala wamekuwa wakionesha uoga mkubwa wa Demokrasia ingawa ndio inapelekea wao kuchaguliwa na kuingia madarakani.
Wamekuwa wakitumia nguvu kubwa hasa ya dola ili kuzima harakati zozote za kidemokrasia zinazofanywa wakiwa madarakani.
Je uoga huu unasababishwa...
Watanzania sijui tukoje ? Hivi majumba ndiyo yanayotibu watu au madaktari ? Ningeambiwa Muhimbili kuna madaktari 500 wanaolipwa vizuri na kufanya kazi ipasavyo hapo ningefurahi. Kwenye kuwekeza katika majengo kuna 40% wakati kwenye kuwekeza katika madaktari ufisadi ni kama hauko.Kwa hiyo mimi...
Mapokezi yalihudhuriwa na Wenyeviti wa vyama vya UKAWA. Makatibu na maofisa wengine walikuwa na shughuli nyingine ambazo kwa wakati huu ni muhimu. Hili linapaswa kueleweka na wale wasio wapika majungu.
Wilaya ya Ngara iko pembezoni mwa Tanzania na mara nyingi imekuwa ikisahaulika kwenye mambo mengi. Tafadhali sana tunakuomba uiweke Ngara kwenye ratiba yako wakati wa kusafiri kuelekea Ikulu. Tunakutakia safari njema na Oktoba si mbali.
Edward, our big problem in Tanzania is corruption, corruption, corruption and corruption. Our solution will never be Lowasa, Lowasa, Lowasa and Lowasa . Farewell Lowasa.
Hili swali naona anayetakia kulijibu si mwingine ila ZITTO ZUBERI KABWE maana yake ndiye katika historia ya siasa za Tanzania amekuja kujitokeza kama TIGHT ROPE WALKER, HOODWINKER, TRIPLE DEALER AND MANY MANY MORE.
That is a lot of hogwash. Shilingi inashuka kwa vile hela haramu zinahamishiwa nje. Yaani hakuna udhibiti kuhusu uhamishaji wa hela kuzipeleka nje. Overpriced purhases, the likes of Tegeta Escrow, Vocha haramu za akina Vodacom, na mengine mengi yanachangia kushuka kwa shilingi. Unakwenda bureau...
Mbona tunapoteza muda mwingi kujadili kitu ambacho kiko TRANSPARENT ? Chama cha ZZK ni ALLIANCE FOR CHANGE AND TRANSPARENCY.Sasa kwa nini ZKK hataki kuwa transparent kama jina la chama chake linavyotufanya tuamini ? Labda nimsaidie kidogo. Barack Obama hasa ndiye mwanzilishi wa CHANGE.Lakini...
Yericko Nyerere
Huyu ZKK katumia wadhfa wake kujua wapi kuna madini na mafuta akajimegea vitalu. Akasajili ati Not For Profit companies ili asilipe kodi. Kaanzisha chama ambacho mapato yake yanatia mashaka makubwa. Halafu anazuga Watanzania eti ni mzalendo. Kibaya zaidi ni kwamba tamko la mali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.