Recent content by Isolated

  1. Isolated

    JamiiForums Tanzania Fungua jicho la tatu

    naunga mkono hoja
  2. Isolated

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama mahusiano yako ni ya mbali na ghafla analazimisha kuja tofauti na misimamo yake ya awali kuwa makini

    alini miss ghafla anataka sex , nilikua mkoa tofauti kumbe kina ujauzito wa miez miwili bna
  3. Isolated

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama mahusiano yako ni ya mbali na ghafla analazimisha kuja tofauti na misimamo yake ya awali kuwa makini

    aisee kuna dem nimeruka msala😆😆😆:D:D
  4. Isolated

    JamiiForums Tanzania Hivi nikiwaambia Yesu atakuja kutokea Korea mtaamini?

    uthubitisho wa kwenye bible kwamba ataibukia kim jong un
  5. Isolated

    JamiiForums Tanzania Hivi nikiwaambia Yesu atakuja kutokea Korea mtaamini?

    wewe kila kitu ni lugha ya kinabii,ila ufafanuzi hutaki leta
  6. Isolated

    JamiiForums Tanzania Hivi nikiwaambia Yesu atakuja kutokea Korea mtaamini?

    je ufufuo wa watu pekee ulishatokea?
  7. Isolated

    JamiiForums Tanzania Hivi nikiwaambia Yesu atakuja kutokea Korea mtaamini?

    Ufunuo wa Yohana 1:7-8 Tazama yuaja na Mawingu, Kila jicho litamwon
  8. Isolated

    JamiiForums Tanzania Hivi nikiwaambia Yesu atakuja kutokea Korea mtaamini?

    itakua sahihi ukileta ushahidi wa kimaandiko
  9. Isolated

    JamiiForums Tanzania Hivi nikiwaambia Yesu atakuja kutokea Korea mtaamini?

    hapo bible iliweka wazi wafu wa kimwili
  10. Isolated

    JamiiForums Tanzania Hivi nikiwaambia Yesu atakuja kutokea Korea mtaamini?

    huna uthibitisho kimaandiko labda unazungumza habari ya yesu wa tongareni
  11. Isolated

    JamiiForums Tanzania Hivi nikiwaambia Yesu atakuja kutokea Korea mtaamini?

    kufufuliwa kwa wafu
  12. Isolated

    JamiiForums Tanzania Hivi nikiwaambia Yesu atakuja kutokea Korea mtaamini?

    unahisi kwanini unajua wewe na si wengine? je ukiwajuza wengine unapungukiwa nini? ikiwa yesu amerudi mbano ufufuo haupo? mbona bado tunazika wapendwa wetu? uko wap ukuu na utukufu atakao kuja nao mwana wa adam?
  13. Isolated

    JamiiForums Tanzania Hivi nikiwaambia Yesu atakuja kutokea Korea mtaamini?

    wewe ndio unajua?
  14. Isolated

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ni kabila gani uliambiwa usioe/ usiolewe nalo na kwanini?

    wandali kwasababu ni wachawi
  15. Isolated

    JamiiForums Tanzania Feitoto kusema anataka mshahara kama wa Azizi Ki! Kiko wapi?

    Nataka mshahara kama wa Azizi KI, mwenzio dk 20 zimetosha kuamua mechi, Wewe dk 90 zote unaruka ruka kiwanjani! Kuna msemo wa wahenga usiteme big G kwa karanga za kuonjeshwa Future yako iko rehani, huko uliko hakuna mashabiki wa kukusifia kama ilivyokuwa ukiwa Yanga, kiuhalisia hukuwa na maajabu😄
Back
Top Bottom