Recent content by ismailo.nn

  1. I

    PICHA; Mkutano wa CHADEMA Newala Jana!

    Mwenyenzi MUNGU yuko pamoja nanyi kwa ukombozi wa taifa letu
  2. I

    PICHA; Mkutano wa CHADEMA Newala Jana!

    "Uhuru wa kusema". Hayo ni mawazo yako. Watz si wa kipindi cha huyo uliyempa jina la mangi. Na watz hawana akili mgando kama unavyowafikiria wewe kiasi kwamba wanashindwa kuelewa uozo uliopo kwenye serikali ya tz inayoongozwa na tapeli "ccm" daima tunahitaji mabadiliko dhidi ya serikali tapeli...
  3. I

    NEC Imeoza

    NEC imekosa mwelekeo kwa mambo yafuatayo; 01 kuwepo kwa matatizo ya chaguzi mbalimbali kama jimbo la Arusha mjini na majimbo mengineyo 02 kukosa maamuzi sahihi juu ya kazi wanayopaswa kuifanya. Kutokana na uozo huo hupelekea kuwepo kwa fujo na uvunjifu wa amani wakati na baada ya uchaguzi...
  4. I

    Tanzania Election 2010 Results as per NEC

    Tanzania inasikitisha sana
  5. I

    MAONI:Serikali ilivyoshughulikia vurugu za kanisa la EFATHA vs UAMSHO

    Ni jambo la kusikitisha sana kama serikali inashindwa kufanya maamuzi kuhusiana na suala hilo. Wakristo wanapofanya kosa fulan ama wasifanye wanaandamwa na hao wanaoitwa vyombo vya usalama, ninashindwa kuelewa mwisho wake utakuwa nini! Je itakuwa ni vita ya kidini imeshaanza au maana yake nini...
Back
Top Bottom