Naomba kurudia kutoa shukrani zangu za dhati
kwa wale wote miongoni mwenu, wake kwa
waume, wazee kwa vijana, walionitumia ujumbe
na salamu kutoka pande zote za nchi - kwa
kupiga simu, kwa kutuma ujumbe mfupi wa
simu na kupitia mitandao ya kijamii - kueleza
kufurahishwa kwao na uamuzi wangu...
mkuu slaa ni mkabila, mdini, mwizi wa ruzuku ya chama, mwizi wa wake za watu, mdini na mwongo.2015 tumuunge mkono kijana mwenzetu January makamba tuache unafiki sisi vijana.
Mkuu hawa watu wananufaika na pesa za mzee lowasa ndio maana hawaambiwi chochote kuhusu huyu mzee,hii isiturudishe nyuma sisi vijana wazalendo wa kitanzania
toilet paper ya mbowe aka mr zero ihungo secondary(tanzania daima) eti nalo linamuunga mkono lowasa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!siasa za kijasiliamali zitakufikisha wapi mr zero
vijana wengi wa baa ya vichaa ni wanafiki sana eti leo wanampinga makamba jr na wanawaunga mkono babu slaa na babu mamviiiiiiiiiiiii poor baa ya vichaaa
tunahitaji kuwa na Rais anaendana na changamoto za wakati huu.Vijana tuachekutumika na hawa wazee vijana twendeni na kijana wenzetu MTANZANIA MZALENDO 2015 JANUARY MAKAMBA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.