RAIS SAMIA: HATUTATOA NAFASI KWA KIUMBE YOYOTE KUJA KUTUHARIBIA NCHI YETU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amezielekeza Wizara zinazohusika pamoja na Vyombo vya Ulinzi na Usalama kutoa ufafanuzi au kukanusha haraka matamko mbalimbali yenye nia ovu...
Maelfu ya vijana kutoka vyuo na vyuo vikuu Mkoani Arusha wamejitokeza kwa wingi katika matembezi ya amani yaliyofanyika jijini Arusha kuonesha mshikamano na kuunga mkono juhudi za Mhe. Rais Samia katika kuwaletea maendeleo, hususan kwenye sekta ya elimu.
Kupitia ongezeko la mikopo na...
MKIAMBIWA CHADEMA IMEKUFA NDIO HUKU SASA
Ukweli hauhitaji madoido. Mikutano haina watu ya CHADEMA..! Tujitathmini, si kudanganya hadhira kwa picha za 2015 wakati wa Mzee Lowasa, R.I.P wahuni wanatembelea ganda la Ndizi....! na Mbowe kawaacha yatima kila mtoto anataka chake nyumba haina Amani
UZUSHI KUHUSU MAUAJI KUWA NI MIKAKATI YA VYAMA VYA SIASA, TUSIYAPE NAFASI KAMA MTAJI WA KISIASA TUNAPOELEKEA UCHAGUZI OKTOBA 2025
🖊️Mwanaharakati Huru Tanzania
Katika siku za karibuni, kumezuka wimbi la maneno ya uzushi na tuhuma nzito zinazodai kuwa kuna vyama vya siasa vinavyopanga au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.