Recent content by Ishitay

  1. Ishitay

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kupekua simu ya mwenzi wako pale anapokuwa yupo au hayupo?

    Binafsi sipendi hii tabia kwa sababu iliwahi kutaka kusababisha ndoa kuvunjika sasa mtu anapekua mpaka txt za ndugu zako yaan ni mtihani sana
  2. Ishitay

    JamiiForums Tanzania Eti Bongo kuna magari ya kike na ya kiume

    Au mwanaume anaendeshaje! vitz afu anashusha vioo
  3. Ishitay

    JamiiForums Tanzania Uislam ni dini inayoleta vurugu na kuharibu amani ya ulimwengu

    Usiikashifu dini kwa sababu ya tabia za watu au kikundi fulani cha watu waotumia mwavuli wa uislam kwa kufanya mabaya! Hakuna sehemu kwenye dini imeelezea kama unavyoelezea ww!
  4. Ishitay

    JamiiForums Tanzania Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

    Mafuta ya samaki na samaki kwa wingi
  5. Ishitay

    JamiiForums Tanzania Stendi ya Mbagala Rangi Tatu kuhamishiwa Kijichi, sababu ni nini?

    Yaan ni kero kwa sisi watumiaji wa hii barabara ya Kijichi kwanza barabara ni ndogo kupitisha magari makubwa ya mikoani! Magari yanapishana kwa shida sana
  6. Ishitay

    JamiiForums Tanzania Mwanaume usithubutu kuzalisha watoto kutoka kwa mama tofauti. Ni mbaya sana

    Umesema kweli mkuu! Kwanza watoto hawapati haki za msingi kwakua utakuta baba anaegemea katika familia moja na kujali wale anaoishi nao tu ila wale walio mbali nae wanaishi kwa shida hio hupelekea kukosekana kwa upendo kwa watoto!!
  7. Ishitay

    JamiiForums Tanzania Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

    Shukran sana mkuu!
  8. Ishitay

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Tatizo ni meno kuwa na rangi nyeusi (Meno 🦷)

    Nenda hospital ukasafishe ila umpate dr mzuri.
Back
Top Bottom