Recent content by Ishi Kifikra

  1. I

    DOKEZO Wizara ya Elimu na taasisi zinazosimamia elimu ya juu: Kueni makini na maelekezo ya muda mfupi, ikiwemo kufungia programu mbalimbali

    Sasa hivi kwenye mtaala wa elimu kuna somo la Maadili. Walimu wa kufundisha hilo somo la maadili wanatoka wapi? Siyo hao waliosoma Philosophy ambapo ni maadili ni tawi la Philosophy? Au ndiyo ile kusema hata mwalimu wa Historia anaweza kufundisha maadili. Unapoandaa wataalamu hauwazi tu kwamba...
  2. I

    DOKEZO Wizara ya Elimu na taasisi zinazosimamia elimu ya juu: Kueni makini na maelekezo ya muda mfupi, ikiwemo kufungia programu mbalimbali

    Tatizo la msingi ninaloliona kwa TCU ni kufanya ile inatwa, localisation of university education. Wanajaribu kuona elimu ya chuo kikuu katika mazingira ya ndani tu, bila kufikiria kwamba elimu ya chuo kikuu ni kuandaa wahitimu ambao wanaweza kufanya kazi duniani kote. Na pengine kwa style hiyo...
  3. I

  4. I

    Kwa akili za hawa watu ndiyo maana walifuta somo la kilimo, commerce na bookkeeping kwamba hayana maana.
  5. I

    DOKEZO Wizara ya Elimu na taasisi zinazosimamia elimu ya juu: Kueni makini na maelekezo ya muda mfupi, ikiwemo kufungia programu mbalimbali

    Katika dunia ya sasa ambayo inahitaji fikra tunduizi mtu anauliza Philosophy itafanya nini? Misingi ya utawala, uongozi, siasa na uchumi vimejengwa katika misingi ya Falsafa, leo karne ya 21 mtu anayeonekana kuelemika anauliza Philosophy inafanya nini? Katika wakati ambao tunasema jamii...
  6. I

    DOKEZO Wizara ya Elimu na taasisi zinazosimamia elimu ya juu: Kueni makini na maelekezo ya muda mfupi, ikiwemo kufungia programu mbalimbali

    Ninakubaliana na uwepo wa TCU kama mwangalizi wa ubora kwa vyuo vikuu, lakini awe mwangalizi mwenye kutenda haki na mlezi bora. Hoja zilizotangulia hapo awali ni kuhusu mizania ya kuangalia ubora huo baina ya vyuo vya umma na binafsi. Hoja hizo bado zinahitaji kuangaziwa na mamlaka husika...
  7. I

    DOKEZO Wizara ya Elimu na taasisi zinazosimamia elimu ya juu: Kueni makini na maelekezo ya muda mfupi, ikiwemo kufungia programu mbalimbali

    Kwa hiyo kwa sababu CBE wamejikita kwenye biashara ni sawa wao jicho la TCU lisiwaangalie? Je hiyo siyo kuzalisha wasomi wenye vyeti bila taaluma? Msingi wa hoja yangu ni kwamba pengine kuna mkakati wa maksudi wa kutaka kuangamiza vyuo vya binafsi kwa kutoweka mizania sawa na vyuo vya umma...
  8. I

    DOKEZO Wizara ya Elimu na taasisi zinazosimamia elimu ya juu: Kueni makini na maelekezo ya muda mfupi, ikiwemo kufungia programu mbalimbali

    Wajibu wa serikali kupitia vyombo vyake ni kulea na kutoa mwongozo. Chombo kama TCU kilipaswa kuwa mlezi na kuona kwamba inavisaidia hivi vyuo vya binafsi kukua na kufikia matarajio yake ya ubora. Yawezekana kukawepo na hoja za msingi kuhusu ubora wa elimu unaotolewa kwa baadhi ya program katika...
  9. I

    Mambo yanayoisibu SAUT Mwanza

    Kuna mambo mengi hapo yameainishwa. Ni kweli kuna progress imepigwa kwa miaka ya hivi karibuni lakini hiyo haiondoi ukweli wa matatizo haliyoainishwa hapo na mengine mengi ambayo hayajawekwa. Ni wakati mwafaka wa taasisi hiyo kufanya tafakuri ya kina kama inaelekea kwenye malengo yake au inarudi...
Back
Top Bottom