Recent content by Isekalaa

  1. I

    JamiiForums Tanzania Wazoefu wa Biashara naombeni wazo la biashara

    My dear. Karibu tuwe partiners kwenye biashara, uhakika wa kupata faida kwa mwezi 500,000 ni 100%. Hautahusika na operations costs. Utakapopata biashara ya kukuingizia 1M kwa mwezi unajitoa wakati wowote unaenda fanya hiyo.
  2. I

    JamiiForums Tanzania Wazo lako la biashara weka upate mwenye uzoefu na hiyo biashara

    PM mkuu then nitakupa namba
  3. I

    JamiiForums Tanzania Wazo lako la biashara weka upate mwenye uzoefu na hiyo biashara

    Kwa mwenye nia ya kufanya biashara ya microfinance/mikopo midogo midogo tuwasiliane
  4. I

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Graduate Engineers 2 na Driver 1

    Wakuu kuna nafasi za kazi . Wanahitajika Gradute Engineers (Civil) wawili na Driver mmoja. Engineers wawe wame graduate mwaka jana 2023. Driver awe ana cheti cha NIT na awe amezaliwa kuanzia mwaka 1979 hadi 1988. Tupeane mawasiliano DM.
Back
Top Bottom