Recent content by IsDinah

  1. IsDinah

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika dagaa watamu

    Kwa kweli, na wanavyoona vya kitajiri havina manufaa kabisa mwilini. Kama burgers 🍔 pizza 🍕 etc
  2. IsDinah

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika dagaa watamu

    😂😂
  3. IsDinah

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika dagaa watamu

    Sasa tuandae pishi letu ili tuingie jikoni kupika chap kwa muda wa dakika 10 baada ya hapo, tunakula sotojo letu. Anza kwa kukata kata vichwa vya dagaa, wengine huwa mnaunga dagaa bila kukata vichwa ni sawa pia ila mimi napendelea kukata vichwa kwa sababu inasaidia kupunguza mchanga. Baada ya...
  4. IsDinah

    JamiiForums Tanzania Nitazipata wapi pepeta (rice flakes) nchini? Nipo Mbeya

    Ahsante sana
  5. IsDinah

    JamiiForums Tanzania Nitazipata wapi pepeta (rice flakes) nchini? Nipo Mbeya

    🤣🤣🤣umenifurahisha aisee
  6. IsDinah

    JamiiForums Tanzania Nitazipata wapi pepeta (rice flakes) nchini? Nipo Mbeya

    Ahsante sana, nitafuatilia huko
  7. IsDinah

    JamiiForums Tanzania Nitazipata wapi pepeta (rice flakes) nchini? Nipo Mbeya

    Habari wanajamvi, naomba msaada wenu. Natafuta pepeta (rice flakes) kwa ajili ya matumizi ya biashara ya vyakula. Nipo Mbeya lakini niko tayari kuagiza hata kutoka nje ya mkoa kama kuna wauzaji wa jumla au rejareja. Naomba mnisaidie kujua ni wapi naweza kuzipata au hata kama kuna mtu anayeuza...
  8. IsDinah

    JamiiForums Tanzania BoT yakataza rasmi kampuni za mikopo mitandaoni kuchukua mawasiliano ya wateja ili kuwadhalilisha. Yatoa mwongozo mpya!

    Yaani wanakera sana, hata kama ulikuwa na lengo la kulipa unaahilisha
  9. IsDinah

    JamiiForums Tanzania BoT yakataza rasmi kampuni za mikopo mitandaoni kuchukua mawasiliano ya wateja ili kuwadhalilisha. Yatoa mwongozo mpya!

    Ulifanyaje kuwazuia wasikudhalilishe, tupe mbinu hiyo
  10. IsDinah

    JamiiForums Tanzania Special thread: Wazee wa kukopa kwenye Mitandao tukutane hapa tubadilishane mawazo na kupeana connections za site mpya za kukopa

    Machimbo hayo Maestroloan Pesa bure Popo pesa Goldenwallet Kopasafix Pesacome Borapesa
  11. IsDinah

    JamiiForums Tanzania Special thread: Wazee wa kukopa kwenye Mitandao tukutane hapa tubadilishane mawazo na kupeana connections za site mpya za kukopa

    😃😃mimi nimejichanganya juzi nimeweka namba ya mzee ambayo alipoteza kumbe wamechukua kwenye contact zangu anayotumia saa hivi wanamsumbua. Nimemwambia hao matapeli wamedukua simu yangu saa hv wakimpigia anawambia nendeni polisi
  12. IsDinah

    JamiiForums Tanzania Naomba mnikaribishe rasmi kama mwanachama wa JF

    Hapana ni typing error Nilitaka kusema nimekimiss hatari (kitimoto)
  13. IsDinah

    JamiiForums Tanzania Naomba mnikaribishe rasmi kama mwanachama wa JF

    Sawa, nimekuelewa
  14. IsDinah

    JamiiForums Tanzania Naomba mnikaribishe rasmi kama mwanachama wa JF

    Juice inatosha
  15. IsDinah

    JamiiForums Tanzania Naomba mnikaribishe rasmi kama mwanachama wa JF

    Ahsante sana mkuu
Back
Top Bottom