Recent content by Isayalussy11

  1. Isayalussy11

    JamiiForums Tanzania Interview za utumishi

    Habari wakuu hivi kama umeitwa kwenye interview utumishi na una namba ya nida tu .Je unaweza kwenda na barua ya serikali za mitaa ikakubalika? Nawasilisha wana Jf
  2. Isayalussy11

    JamiiForums Tanzania FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Kikosi kitachoivaa PSG leo[emoji123] READY TO COLOR EUROPE[emoji837][emoji838] VISCA ÉL BARCA [emoji2522]. Montjuic Stadium [emoji3496].10:00 PM
  3. Isayalussy11

  4. Isayalussy11

    JamiiForums Tanzania FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Based on our previous achievement personally ntakua surprised.Lakini Kutokana na quality na form tuliyonayo sitakua surprised kabisa na itakua proper farewell Kwa Xavi.
  5. Isayalussy11

    JamiiForums Tanzania FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Mimi toka draw inapangwa nilivyoona tu path yetu kuna Dortmund/Atleti/PSG i saw the possibility to reach the final,Why? quality ya hizi team na team yetu hatuachani sana.Barca watu wanaichukulia poa but believe this team Ina quality ya ku battle na team yoyote Ile ulaya,mtu anaesema Barca ana...
  6. Isayalussy11

    JamiiForums Tanzania FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    We are dark horse in this tournament,tupo kama hatupo vile, ila tupo.No pressure at all Kwa sababu we are not favourites to win the tie,ukiangalia pia performance zetu zilizopita kwenye michuano hii last time to reach Quarter final ni 2020 huko,but still we believe our players, we can battle...
  7. Isayalussy11

    JamiiForums Tanzania FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    A MATCH DAY [emoji838][emoji837] VISCA ÉL BARCA
  8. Isayalussy11

    JamiiForums Tanzania FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    We can dream to reach final ,Tuna hio team Kwa sababu Atleti/Dortmund/PSG Hawa wote tunawamudu,ila Ubingwa mmh!.
  9. Isayalussy11

    JamiiForums Tanzania FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Napenda sana Barca tunavyochuliwa Underdog.This is Champions league brother,Knockout games sio league.Huku form ya kwenye league weka kapuni.Bayern unaemuona mbovu bundesliga kisa now anaongoza Leverkusen ,basi ukamchukulia poa!,huku ni experience ,mentality na moments.
  10. Isayalussy11

    JamiiForums Tanzania FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Possibly tunaweza kutoboa vizuri tu na hata ukiangalia PSG hawana squad ya kutisha sana. Backline na midfields hatuzidiani sana ,tena midfields tuna quality kuliko wao.Threat hapo ni Mbappe tu basi,tukizuia vizuri we move to semi & possibly final tena path yetu sio ngumu sana, Atleti/Dortmund...
  11. Isayalussy11

    JamiiForums Tanzania FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Toxic environments mkuu,To manage Barca inahitaji kocha anaeweza ku handle pressure ya mashabiki + media.Barca na Bayern ni aina ya vilabu ambavyo kocha hupewi muda ,sijui maswala ya project sijui nini!.Mfano Barca now kiuhalisia ipo kwenye project ,but you know why hata kama ni project...
  12. Isayalussy11

    JamiiForums Tanzania FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Blaugranas[emoji837][emoji838]
  13. Isayalussy11

    JamiiForums Tanzania FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Team Kwa sasa haina fowards wa kueleweka +kocha nae mpumbavu!.Daah inatia hasira sana asee!.Barca sikuizi imekuwa loughing stock,hatutushi tena in Europe!. Team kufanya signings tu za maana imekuwa shida ,achilia mbali ku register wachezaji,how can we compete!!.Kikosi kilichopo kwa sasa kina...
  14. Isayalussy11

    JamiiForums Tanzania FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Blaugranas[emoji838][emoji837]
  15. Isayalussy11

    JamiiForums Tanzania FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    champions league glory tu ndo watu walikua wanafata ,tuliobaki ni loyal fans tu!.Barca na Madrid watu wanazifuata Kwa ajili ya UEFA tu!
Back
Top Bottom