TUNDU LISU SIYO MNAFIKI, MNAFIKI NI YULE ALIYEKUWA ANAUNGA MKONO KILA LISEMWALO KUHUSU MADINI MFANO MZURI WABUNGE KIBAO WA CCM WALIKUWA WAKIGONGA MEZA WANAPOPITISHA MISWADA YA AINA HIYO, WAPINZANI WALIONEKANA NI MBUMBU WA SHERIA, SASA KULENI MATAPISHI,INAUMIZA SANA MTU ANAPOWEKA UCHAMA KWA MAMBO...
TUFANYE KAZI KWA KUANGALIA MASLAHI MAPANA YA TAIFA.HUWEZI KUKURUPUKA KUMPELEKA MTU MAHAKAMANI BILA KUJIRIDHISHA KWAMBA YUPO SAWA AU LA. MTU MMEMPA MAMLAKA YA UMILIKI NA KUSAFIRISHA HALAFU UENDE TU MAHAKAMANI KWELI BILA KUHOJI. NAMPONGEZA RAISI WETU MAANA ANAENDA HATUA KWA HATUA HAKURUPUKI KAMA...
mawaziri mfanye kazi badala ya kurusha vijembe visivyo na faida kwa wananchi.Lisu ameshauri vizuri tu sasa suala la kufanyia kazi ushauri ni la serikali.Tundu Lisu kama mtanzania mwingine ametumia haki ya kikatiba kushauri.HONGERA TUNDU LISU TUNAKUELEWA SANA.KAKA YANGU MWIGULU FUATILIA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.