Recent content by Isaka James

  1. Isaka James

    Sekta ya Teknolojia Tanzania: Tech Zinazodominate na Fursa za Kazi kwa Job Seekers

    Habari wadau wa Jamiiforum! Mimi ni tech enthusiast hapa Dar, na leo nataka kushare thoughts zangu kuhusu technologies zinazotawala Tanzania na how they can help you kufind job au improve in your current one. Kama unajua, global tech na local one ni different sana, especially in developing...
  2. Isaka James

    Jinsi Social Media Inavyochangia Tech Culture Tanzania

    Yo, wadau wa tech! Social media imekuwa kama nguvu kubwa kwa ukuaji wa tech ecosystem hapa Tanzania, na leo tunaangalia jinsi platforms kama JamiiForums, X, Instagram, LinkedIn, WhatsApp, YouTube, na TikTok zinavyobring tech enthusiasts pamoja, kushare knowledge, na kushare events za tech. From...
  3. Isaka James

    Nini Kinachofanya Mifumo Isipatikane? Sababu za Msingi za Kuangalia

    Aloo wadau wa Jamii Forums! Leo tunavunja mifumo na kuangalia ni kwa nini mifumo ya kompyuta au internet zinapokosa kufanya kazi (system unavailability). Hii kitu inakera sana, iwe ni tovuti inakataa kupakia, app inaganda, ama huduma za mtandaoni ziko down kama kifusi kilichoanguka...
  4. Isaka James

    JamiiForums Imezuiwa Siku 90? TOR Ndiyo Suluhisho Bila Form ya TCRA!

    TOR ni slow kwa sababu traffic yako inarouted kupitia nodes nyingi, hivyo inakuwa chaguo baya kutumia TOR kudownload files kubwa
  5. Isaka James

    JamiiForums Imezuiwa Siku 90? TOR Ndiyo Suluhisho Bila Form ya TCRA!

    Habari za Jumapili wadau wa JamiiForums! Leo nimekujieni na hii thread, haswa baada ya jana kusikia kuwa JamiiForums imepigwa ban ya siku 90 na TCRA kwa kile wanachodai ni maudhui yanayopotosha! (Kulingana na taarifa rasmi za TCRA Septemba 6, 2025, hii suspension inaanza mara moja na...
  6. Isaka James

    Jaza Form ya TCRA Usijepatwa na Shida, Serikali Inakufuatilia Vipi? (Watumiaji wa VPN Special Thread)

    Habari wadau wa JamiiForums, Leo nimekuja na kichwa moto kuhusu hili swala la VPN ambalo limekuwa likiwaka kama moto wa gari la maji mitandaoni! Tangu 2023, serikali kupitia TCRA ikawavunja moyo wengi kwa kusema kila mtu anayetumia VPN, iwe mtu binafsi au kampuni, lazima ajaze form rasmi ya...
  7. Isaka James

    Muda wa Kufungua Macho: Tukio la Udukuzi la TSh 229.94 Milioni Kenya na Masomo kwa Tanzania

    Habari wadau wa Jamiiforums! Mimi ni mtaalamu wa usalama wa mtandao (cybersecurity) kutoka Tanzania, na leo nataka tuzungumze kuhusu tukio la hivi majuzi la udukuzi nchini Kenya ambalo linapaswa kutufungua macho sisi Wanzania. Hebu fikiria, Kijana mwenye vipaji vya hali ya juu anayetumia ujuzi...
  8. Isaka James

    Afya ya Akili kwa Wanaume Tanzania: Tunazungumza vya Kutosha?

    Habari ndugu zangu, Afya ya akili ni mada muhimu ambayo mara nyingi haipati uzito unaostahili, hasa inapokuja kwa wanaume hapa Tanzania. Kwa jamii zetu, wanaume mara nyingi wanatarajiwa kuwa "imara" na kutokutoa hisia zao waziwazi. Hili linaweza kusababisha changamoto kubwa za afya ya akili...
  9. Isaka James

    Kwanini Watanzania wengi hawasomi vitabu?

    Habari ndugu zangu, Nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu kuhusu suala la usomaji wa vitabu hapa nchini kwetu Tanzania. Inaonekana kama watu wengi, hasa vijana, hawachukui muda kusoma vitabu vya maarifa, historia, au hata hadithi za kuburudisha. Je, hii inatokana na: 1. Ukosefu wa muda? 2...
  10. Isaka James

    Uzi maalumu kwa ajili ya kujifunza namna ya kutengeneza Android Apps

    inategemeana unataka kutengeneza apps gani, kama unatengeneza apps za online lazima udeal na API ambazo ukiwa offline itakuwa impossible. but kama unatengeneza apps za kawaida kama camera apps, music player, notepad app.. itakuwa haina shida ukiewa offline
  11. Isaka James

    Uzi maalumu kwa ajili ya kujifunza namna ya kutengeneza Android Apps

    hiyo ni nzuri sema kama mtu anataka ajifunze ili kutengeneza apps ambazo zipo very challenging (ikiwemo na game development) narecommend ajifunze flutter,react and if necessary kotlin
  12. Isaka James

    Ni wapi kwa DSM wananunua computer mbovu au used?

    Hapo ni kwamba ni kuhakikisha kuwa main computer parts zinafanya kazi ukiachana na mlango wa cd. kwa kuhakikisha hivyo unaweza ukaongeza thamani ya computer yako. Additional but not recommended ni kwamba if inafanya kazi vizuri inunulie cover hapo ndani ya wiki ushavuta mkwanja
Back
Top Bottom