Recent content by Isack B

  1. Isack B

    JamiiForums Tanzania Badili mwenendo wa maisha yako

    Ujumbe mzuri
  2. Isack B

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu biashara ya ushonaji wa nguo na upatikanaji wa vifaa vyake

    Hiyo ni yakuanzia kila kitu rafiki yangu!
  3. Isack B

    JamiiForums Tanzania Msaada njia mbadala ya kununua LUKU kwa sasa

    Unaweza kununua LUKU kwa njia ya NMB Mobile, SIMBanking CRDB, EZZY Mobile 247, TPB Popote, ACB Mobile, MAX Malipo na Airtel Money.
  4. Isack B

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu biashara ya ushonaji wa nguo na upatikanaji wa vifaa vyake

    Hello!? Mimi ni mkazi wa malimbe mwanza, nina mtaji wa TZS 1,000,000/- kwa ajili ya kufungua duka la ushonaji nguo hapa Malimbe. Naomba ushauri, Je, inatosha hiyo pesa ama niendelee kuiongeza? Natanguliza shukrani za dhati.
  5. Isack B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka kufungua M-pesa, Airtel money na Tigopesa

    Biashara za commission zahitaji uvumilivu.
  6. Isack B

    JamiiForums Tanzania Ni kipi cha kuzingatia katika biashara?

    Saaafi
  7. Isack B

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kupanga bajeti ya mwezi, nifanye nini ili niweze?

    Ushauri poa sana
  8. Isack B

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kupanga bajeti ya mwezi, nifanye nini ili niweze?

    Ujumbe mzuri, lakini pagumu ni kwenye kufungua genge, ni nani atakayesimamia kama uko mwenyewe tu!?
  9. Isack B

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kupanga bajeti ya mwezi, nifanye nini ili niweze?

    Ushauri wako nimeupenda, nami nitaufanyia kazi!
  10. Isack B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka kufungua M-pesa, Airtel money na Tigopesa

    Where can i get those super dealers!?
  11. Isack B

    JamiiForums Tanzania Duka la Dawa Muhimu za Binadamu (Pharmacy): Utaratibu wa Kufuata na Mtaji wa Kuanzisha Biashara

    Kwahiyo hapo unamaanisha 4m/- inatosha kabisa kuanzisha duka la dawa muhimu!?
  12. Isack B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka kufungua M-pesa, Airtel money na Tigopesa

    Laini ni bei gani kwa kila moja kutoka mitandao yote!?
  13. Isack B

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)

    Na je kama ulikuwa umeajiriwa ualimu msingi, unaweza kujiajiri kwa kufanya kitu gani inayoendana na fani hii.
  14. Isack B

    JamiiForums Tanzania BANK YENYE BEST FIXED INTEREST RATE 2014 to 2015

    Pesa yako kaiwekeze UTT Trust Fund. Baada ya miaka miwili na kuendelea utafurahia mavuno makubwa kuzidi mtu aliyeweka pesa yake bank.
  15. Isack B

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Rais ajaye atakuwa kijana, jina mchanganyiko kiislamu na kikristo au ameoa dini nyingine

    Mbona aliyotabiri mwaka 2014 hatajatokea!!? Aache uongo huyo jamaa.
Back
Top Bottom