chief mtwe
Member
- Dec 10, 2013
- 95
- 11
Habari, nahitaji kujua taratibu za kufungua duka la dawa muhimu, kwa anaejua tafadhali.
Habari, nahitaji kujua taratibu za kufungua duka la dawa muhimu, kwa anaejua tafadhali.
Kando ya barabara ya Mandela Kituo cha kimataifa cha uwekezaji cha Benjamin Mkapa kuna ofisi za TFDA ambao ndio wahusika wakuu watakupa maelekezo yote na ukikamilisha masharti yanayotakiwa watakupa hati ya kuanzisha biashara yako. Hapa hakuna namna nyingine ni hivyo tu na ni jambo la taratibu na sheria za serikali kwa sasa. Hilo ni kwa Dar, sijajua mikoani uende wapi na matawi yao mikoani kama yapo.Habari, nahitaji kujua taratibu za kufungua duka la dawa muhimu, kwa anaejua tafadhali.
Kando ya barabara ya Mandela Kituo cha kimataifa cha uwekezaji cha Benjamin Mkapa kuna ofisi za TFDA ambao ndio wahusika wakuu watakupa maelekezo yote na ukikamilisha masharti yanayotakiwa watakupa hati ya kuanzisha biashara yako. Hapa hakuna namna nyingine ni hivyo tu na ni jambo la taratibu na sheria za serikali kwa sasa. Hilo ni kwa Dar, sijajua mikoani uende wapi na matawi yao mikoani kama yapo.
Mkuu weka simu yako hapa, hiyo software wengi tu tunaihitaji kumanage hata biashara nyingine. Tafadhali.Ukifungua nitafute nikupe software ya ku manage biashara yako. Sorry Nimetoka nje ya mada
Ten million
siyo gharama kubwa mlango wa aluminium ni 400,000, shelves, kabati la mbele la kioo na matengenezo ya chumba ni kama 2m labda kiwe pagala. mtaji 2m inatosha.
Inatosha kabisa. sababu dawa ziuzwazo ni kama 160.Kwahiyo hapo unamaanisha 4m/- inatosha kabisa kuanzisha duka la dawa muhimu!?