Recent content by Isaak

  1. I

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya masasi mkeka kitambo barazani

    Mkeka ushachanwa siku 3.
  2. I

    JamiiForums Tanzania ANGALIZO: Kutozingatia hivi vitu hutokuwa SHORTLISTED Ajira Portal

    Mambo vipi brother, naomba kufahamu nivyeti Gani vinavyostahiki kucertify apo kwenye ajira portal tu, na Mahakamani ni kiasi gani mie Niko dsm
  3. I

    JamiiForums Tanzania Jamani fuatilieni Halmashauri mbalimbali, sasa zinamwaga ajira

    0716 326162 namba izo naitaji izo ili nitume mie DEREVA
  4. I

    JamiiForums Tanzania Mlioomba kazi TANROADS Tabora mlishaitwa kwenye usaili?

    Hongera mkuu
  5. I

    JamiiForums Tanzania Usahili Utumishi zitumike lugha zote

    Nafurahia sana kuona MAWAZO chanya na huru Kwa kila mtu anavyojadili nami nasoma kiumakini na weledi ili siku yangu isinipite,Na natamani ningejua ukiitwa kwenye usaili hasa upande wangu wa udereva tu ndo professional yangu kwenye vitendo sina shaka hata kujielezea pia ila Kuna laziada...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya udereva

    Husika na kichwa cha habari hapo juu,heshima zenu wote poleni na majukumu ya hapa na pale. Natafuta gari hesabu /mkataba Uber/Bolt/Ping/ hata kumuendesha mtu binafsi /kampuni napatikana Dar es Salaam vigezo vyote ninavyo pamoja na vyeti vya ufundi. Nitashukuru kama nitasaidiwa 0716-326162...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Udereva Uber, Bolt, Ping nk

Back
Top Bottom