Natafuta Mwalimu wa kubadilishana nae.
Mimi ni Mwalimu wa sekondari niliyepangiwa mkoani Tanga wilaya ya Lushoto, natafuta Mwalimu mwenzangu ambaye naweza nikabadilishana nae kutoka mkoa wa Dar-es-salaam wilaya yoyote ikiwemo mkoa wa bagamoyo pia.
Tafadhali naomba tuwasiliane kwa sms hapa katika...
Natafuta Mwalimu wa kubadilishana nae.
Mimi n mwalimu wa secondary niliyepangiwa mkoani Tanga wilaya ya Lushoto, natafuta Mwalimu mwenzangu ambaye naweza nikabadilishana nae kutoka mkoa wa Dar-es-salaam wilaya yoyote ikiwemo mkoa wa bagamoyo pia.
Tafadhali naomba tuwasiliane kwa nambari hizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.